Bournemouth ndio timu inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi.
Bournemouth ndio timu pekee iliyofungwa goli 9-0 msimu huu kwenye Pl.
Arsenyani amepelekewa moto ndani ya dakika 60 na kugongwa goli 2-0 na Bournemouth.
Mpaka dakika 90 zinamalizika Asenyani ameambulia draw na timu inayoshika mkia.
Mashabiki wa Asenyani mngekua na akili mngesikitika na kujiuliza iweje Liverpool amemgonga Bournemouth goli 9 bila nyinyi mnakwama wapi mpaka mtegemee mbeleko kutoka kwa refa?
View attachment 2537451View attachment 2537452