Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta

"Ikiwa nitalazimika kumshawishi mchezaji kubaki au kujiunga na Arsenal, inanirudisha nyuma kidogo. Sio hatua nzuri ya kuanzia kwangu.."

Nitahakikisha nasajili wachezaji wa Arsenal ambao pia ni mashabiki wa Arsenal

Je unajua Zinny ni Arsenal fan Lia Lia?

IMG_20230304_215529.jpg
 
Nelson?
Kuna mengi ya kumzungumzia huyu dogo ila ni muhimu kuweka akiba ya maneno.
Its a day show na hatuna uhakika kama atatupa perfomance kama ya leo maana huwa kuna 'kismart' katika soka.yaani mchezaji anaweza akakupa a mess or ronaldo perfomance in a single match baada ya hapo akarudi kwenye default mode,pamoja na hayo ila kuna vitu dogo huwez kumnyang'anya pamoja na ukweli kwamba its a day show

1-mentality.dogo amekomaa kiakili anajua position yake katika time na space anapokuwa uwanjani,kubwa zaidi he considers himself kama senior player anayetakiwa kudeliver(time will tell)

2-decision making. Angechelewa kwa sekunde 2 lile goli la tatu asingelipata.dogo anajua vital decision

3-bird-eye. Space ilichanganywa vizuri mno kwenye goli la tatu,ni jicho la mwewe tu ndo linaona angle aliyopeleka mpira.HAIKUWA BAHATI MBAYA alituliza na akaangalia angle.

4-movement. Dogo kanikumbusha prime samir nasri.unahitaji winga kivuruge kama huyu kwa low block teams

5-calmness.hii hufundishwi bali ni self development. Hatetemeki.

Mwisho tunafurahia, ila kama arteta analalamika vieira kumpa headache basi hili nalo ni tatizo lingine linalomwendea arteta kama dogo atafanikiwa kuendeleza moto wa leo
Na nikuongezee dogo Nielson anaweza kucheza wing zote vizur kabsaa

Kuna game msimu huu aliingia sub akaenda kutupia goli 2 kama sijasahau

Aliuwasha sana na kama sijasahau tena alitoka SAKA.
 
Na nikuongezee dogo Nielson anaweza kucheza wing zote vizur kabsaa

Kuna game msimu huu aliingia sub akaenda kutupia goli 2 kama sijasahau

Aliuwasha sana na kama sijasahau tena alitoka SAKA.
Nelson ni INTAKE ya awali na kina Smith Rowe kabla Ya INTAKE ya kina saka

Nelson ,Smith Rowe walipelekwa Mikopo na ndio kipind Wenger anaondoka ,hivo hawakupata kocha sahihi wa kuwaendeleza vipaji vyao

Kama mnakumbuka Nelson alipoenda hata German Kama sikosei aliuwasha Sana

Smith Rowe alifanya vzr Leipzig

Alipokuja Emery hakuwa kocha sahihi wakuwakuza

Hata Saka mpaka Leo angebaki kuwa beki

Chini ya Super Mikel atafanya vzr ,Kama Smith Rowe
IMG_20230304_215559.jpg
 
Na nikuongezee dogo Nielson anaweza kucheza wing zote vizur kabsaa

Kuna game msimu huu aliingia sub akaenda kutupia goli 2 kama sijasahau

Aliuwasha sana na kama sijasahau tena alitoka SAKA.
Dhidi ya Notingham forest alipiga 2 na aka assist 1
 
Leo tumepiga pasi 735 game iliyopita Tulipiga tulipiga pasi 748 [emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji91][emoji91][emoji91]

Hii ndio Arsenal na kwamechi zote za Leo England na Ndio team pekee iliyotandaza mpiira wa Dunia
 
Dogo amepikwa amepikika

Tuna utajiri mkubwa wa wingers wa Kushoto had Raha

Nelson amekuwa hatari Sana
Kilichonishangaza leo kwa Nelson, ana impact kubwa mno kwenye wings zote mbili, kuna game kabla hajaumia aliingia kuchukua nafasi ya Saka RW na alikiwasha saaana na alikua Man of the Game kama sijakosea na Leo kaingia kama RW ooh My God jamaa ni hatari sana[emoji848]
 
Nelson ni INTAKE ya awali na kina Smith Rowe kabla Ya INTAKE ya kina saka

Nelson ,Smith Rowe walipelekwa Mikopo na ndio kipind Wenger anaondoka ,hivo hawakupata kocha sahihi wa kuwaendeleza vipaji vyao

Kama mnakumbuka Nelson alipoenda hata German Kama sikosei aliuwasha Sana

Smith Rowe alifanya vzr Leipzig

Alipokuja Emery hakuwa kocha sahihi wakuwakuza

Hata Saka mpaka Leo angebaki kuwa beki

Chini ya Super Mikel atafanya vzr ,Kama Smith Rowe View attachment 2537368
Kwel kaka.
 
Kuna vishabiki vya kiume humu havina koromeo kabisa timu iinapokuwa nyuma Bora mkashabikie nage pumbavu zenyu!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2537405View attachment 2537406
Bournemouth ndio timu inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi.
Bournemouth ndio timu pekee iliyofungwa goli 9-0 msimu huu kwenye Pl.
Arsenyani amepelekewa moto ndani ya dakika 60 na kugongwa goli 2-0 na Bournemouth.
Mpaka dakika 90 zinamalizika Asenyani ameambulia draw na timu inayoshika mkia.
Mashabiki wa Asenyani mngekua na akili mngesikitika na kujiuliza iweje Liverpool amemgonga Bournemouth goli 9 bila nyinyi mnakwama wapi mpaka mtegemee mbeleko kutoka kwa refa?
Screenshot_20230304_231045.jpg
Screenshot_20230304_231210.jpg
 
Bournemouth ndio timu inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi.
Bournemouth ndio timu pekee iliyofungwa goli 9-0 msimu huu kwenye Pl.
Arsenyani amepelekewa moto ndani ya dakika 60 na kugongwa goli 2-0 na Bournemouth.
Mpaka dakika 90 zinamalizika Asenyani ameambulia draw na timu inayoshika mkia.
Mashabiki wa Asenyani mngekua na akili mngesikitika na kujiuliza iweje Liverpool amemgonga Bournemouth goli 9 bila nyinyi mnakwama wapi mpaka mtegemee mbeleko kutoka kwa refa? View attachment 2537451View attachment 2537452
Umeumia sana ushindi wa leo wa Arsenal uchungu umewazidi mashabiki wa Bournemouth[emoji3][emoji3]
 
Bournemouth ndio timu inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi.
Bournemouth ndio timu pekee iliyofungwa goli 9-0 msimu huu kwenye Pl.
Arsenyani amepelekewa moto ndani ya dakika 60 na kugongwa goli 2-0 na Bournemouth.
Mpaka dakika 90 zinamalizika Asenyani ameambulia draw na timu inayoshika mkia.
Mashabiki wa Asenyani mngekua na akili mngesikitika na kujiuliza iweje Liverpool amemgonga Bournemouth goli 9 bila nyinyi mnakwama wapi mpaka mtegemee mbeleko kutoka kwa refa? View attachment 2537451View attachment 2537452
Ujui kitu kajichambe na mchanga ukalale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom