Timu nzima ya Ass'anal ni utoto mtupu sema zali tuu.Huyu Ramsdale anautoto mwingi sana halafu ni mapepe
Futa hii mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Arsenyani kama Askari wa Zenji tu. View attachment 2537208
Arsenal gani wakati timu ikifungwa unafurahia wewe ni mamluki tuMimi ni Arsenal Mkuu blood fan
Mkuu wewe ni mchawi sio bure[emoji1787][emoji1787]Qmaamaee hamtoboi leo, mkitoboa nipigwe ban.View attachment 2537206
Angekua na utoto angewafikisha hapo mlipo brother? Acha kupanicHuyu Ramsdale anautoto mwingi sana halafu ni mapepe
Niliwahi kusema humu Arsenal either wanatumika na waandaaji wa ligi au kuna pesa huwa wanalipwa kufanya madudu, maana timu ambayo mnakuwa mna uhakika kabisa wa kushinda unakuta anafungwa, tena kizembe mpaka unashangaa...Tupambanie nafasi ya nne tu,ubingwa ni wa city,we are not serious
Wapi nimefurahia?nionyeshe sehemu niliyofurahiArsenal gani wakati timu ikifungwa unafurahia wewe ni mamluki tu
Nakuambia hivi leo mkishinda nipigwe ban.Never lost a match when Partey had scored
Hakuna ushindi leo, niamini mimi.