Kwahiyo vipi kuhusu Ban?Mda uliisha kitambo, refa katafuta goli kilazima
Refa hakuwa fair kabisa, hii mechi Ass'anal kapewa upendeleo wa ajabu sana.Faken refariiiiiiii [emoji706][emoji706][emoji706]
Leo Arsenal hatoboi, ushindi wake ni sare, akishinda nipigwe ban.
Kachezeshe wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Refa hakuwa fair kabisa, hii mechi Ass'anal kapewa upendeleo wa ajabu sana.
Je tukifungwa mechi zote zilizobaki?Mamamaninnaaaa Arsenal I can't believe we are in champions league next season
Mimi namafuta ya mgando fyofyokoNakuambia hivi leo mkishinda nipigwe ban.View attachment 2537219
Kama inauma chomoa mkuuFaken refariiiiiiii [emoji706][emoji706][emoji706]
Arsenal si watu.Vp kuna nini
Sawaa tunakuaminiHakuna ushindi leo, niamini mimi.
Zile penalt3 mbona huzisemei imekuwa rede ile??nasemaje kama unaumia chomoa mwenyeweRefa hakuwa fair kabisa, hii mechi Ass'anal kapewa upendeleo wa ajabu sana.