Trossard kaumia aiseeNilisema kabla ya 2nd half kuanza. Ile sub ya Trossard alipaswa aingie Nelson japo wote yeye na ESR walitoka majeruhi.
Nelson injury tuNelson?
Kuna mengi ya kumzungumzia huyu dogo ila ni muhimu kuweka akiba ya maneno.
Its a day show na hatuna uhakika kama atatupa perfomance kama ya leo maana huwa kuna 'kismart' katika soka.yaani mchezaji anaweza akakupa a mess or ronaldo perfomance in a single match baada ya hapo akarudi kwenye default mode,pamoja na hayo ila kuna vitu dogo huwez kumnyang'anya pamoja na ukweli kwamba its a day show
1-mentality.dogo amekomaa kiakili anajua position yake katika time na space anapokuwa uwanjani,kubwa zaidi he considers himself kama senior player anayetakiwa kudeliver(time will tell)
2-decision making. Angechelewa kwa sekunde 2 lile goli la tatu asingelipata.dogo anajua vital decision
3-bird-eye. Space ilichanganywa vizuri mno kwenye goli la tatu,ni jicho la mwewe tu ndo linaona angle aliyopeleka mpira.HAIKUWA BAHATI MBAYA alituliza na akaangalia angle.
4-movement. Dogo kanikumbusha prime samir nasri.unahitaji winga kivuruge kama huyu kwa low block teams
5-calmness.hii hufundishwi bali ni self development. Hatetemeki.
Mwisho tunafurahia, ila kama arteta analalamika vieira kumpa headache basi hili nalo ni tatizo lingine linalomwendea arteta kama dogo atafanikiwa kuendeleza moto wa leo
Inawezekana jamaa anauwezo mkubwa wa kusoma mchezo ukiwa unaendelea ila akianza unaweza shangaaa.Nelson leo ni kama usajili mpya vile. Anaumia Trossard anapatikana yeye.
Arteta achangamke mapema sana ampe mkataba mpya coz dogo anaipenda sana Arsenal.
Tunasahau kwamba assist ya Partey ilikuwa kichwa cha ESR? Kila mmoja alikuwa na mchango wake.Nilisema kabla ya 2nd half kuanza. Ile sub ya Trossard alipaswa aingie Nelson japo wote yeye na ESR walitoka majeruhi.
Esr baada ya kufanyiwa ile surgery amepona kabisaNafikiri sheria ya inayoruhusu refa kuamuru iwe penati bado inachangamoto sana.
ESR,NELSON Wanakumbwa sana na majeraha sijui hawazingatii vyakula?
Ili Nelson aendelee kuwa hatari,arsenal wanabidi waajiri wataalam zaidi kwa ajili yake na wengine kama rashford alivyosaidiwa.
️
#AFCVAR official wa leo ni aliechomesha gemu na Brighton akapewa suspension, amerudi leo yale yaleYaani VAR hizi zote nne hawa kuziona. View attachment 2537307
View attachment 2537308
View attachment 2537309
View attachment 2537310
Yaani kuna nyingine mpaka watangazaji wakawa wanashangaa.
Game na Forest pia watu mulimtilia shaka baada ya yeye kupewa nafasi ya Saka akatupia goli mbiliNelson?
Kuna mengi ya kumzungumzia huyu dogo ila ni muhimu kuweka akiba ya maneno.
Its a day show na hatuna uhakika kama atatupa perfomance kama ya leo maana huwa kuna 'kismart' katika soka.yaani mchezaji anaweza akakupa a mess or ronaldo perfomance in a single match baada ya hapo akarudi kwenye default mode,pamoja na hayo ila kuna vitu dogo huwez kumnyang'anya pamoja na ukweli kwamba its a day show
1-mentality.dogo amekomaa kiakili anajua position yake katika time na space anapokuwa uwanjani,kubwa zaidi he considers himself kama senior player anayetakiwa kudeliver(time will tell)
2-decision making. Angechelewa kwa sekunde 2 lile goli la tatu asingelipata.dogo anajua vital decision
3-bird-eye. Space ilichanganywa vizuri mno kwenye goli la tatu,ni jicho la mwewe tu ndo linaona angle aliyopeleka mpira.HAIKUWA BAHATI MBAYA alituliza na akaangalia angle.
4-movement. Dogo kanikumbusha prime samir nasri.unahitaji winga kivuruge kama huyu kwa low block teams
5-calmness.hii hufundishwi bali ni self development. Hatetemeki.
Mwisho tunafurahia, ila kama arteta analalamika vieira kumpa headache basi hili nalo ni tatizo lingine linalomwendea arteta kama dogo atafanikiwa kuendeleza moto wa leo
Bao lake la tatu hili marekebisho kidogo hapoNELSON KUPEWA MKATABA MPYA
Unbelievable game, unbelievable win for Arsenal… and Reiss Nelson has fantastic impact with his first Premier League goal of the season, with an assist too.️
#AFC
His future will be decided soon as he’s out of contract in June — and he’s love to stay.
WE KENGE NINI?? MPIRA ULIKUA UNAANGALIA WALE NGEDERE WALIVOKUA WANAJIALAZA KAMA WAKO LODGE REFA ULITAKA AFANYE NN. KAMA KENGE!!!Refa kazingua, siwezi kupigwa ban kwa uongo kama huo.
Tumebaki wenyeweNzi walijazana humu. Sasa hivi woote wamekimbia😂😂😂
Refa katuchoma sana na alikuwa hana nia tushinde ni upambanaji wetu tuRefa leo kasema liwalo na liwe mpka mkeka wake utick