Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimu Aston Villa aliompiga Liverpool 7-2 ni 2020/21 siku hiyo alianza United kufungwa 6, Liverkuku wakafurahi sana baadae kibao kikageukia kwao.

Mechi Liverpool aliyompiga Bournemouth 9 ni ya msimu huu na The Cherries ndiyo timu mbovu kwenye ligi ila Arsenyani wame-struggle kupata points 3 tena wakitokea nyuma ya bao 2.
Tumestruggle na possession ya 80% na shots 30?

Niletee takwimu zenu za msimu huu dhidi ya Brentford
 
Nelson jana alikuwa na utulivilu ambao unaleta matumaini kwa washabiki wengi wa Arsenal, ile performance ya jana ni kama unamuangalia Rafa Leao, vitu vilivyomkwamisha miaka ya nyuma ni nguvu ya mwili, majeruhi, utulivu. Kwa uchezaji ule kitu anachozidiwa na Leao ni kimo na speed.
 
wilsonorumatz_

PICHA 1 INAZUNGUMZA MANENO 1000

It was epic.Ni FILAMU yako tamu ya Mapenzi

Nianze kutambulisha Mashabiki wa Arsenal waliopo kwenye hii picha.

1.Huyu hapa mwanzo ambae hana jezi na anazama ground ni Jorginho FRELO

2.Kuna mtu hapo anakimbilia kwenye kibendera kama goli amefunga yeye.Huyo ni WILLY SALIBA

3.Kuna mtu hapo amelala kifudi fudi ndani ya box.Huyo ni Gabriel MAGALHAES

4.Kuna mtu hapo anashangilia Mbele Neto golikipa wa FC Bournemouth ambae alikuwa anapoteza sana muda.Huyo ni Ben White aka MZEE WA JAMBIA

5.Kuna mtu anashangilia akiwa amelala kule Karibu na Kibendera baada ya kupiga Kona.Huyo ni Nahodha Martin ODEGAARD

6.Kuna mtu hapo yeye anaokota mpira kwenye wavu haraka,huyu sijui alikuwa anafikiria nini.Labda tukaanze haraka mpira tuweke chuma ya 4 kabisa? Lakini Muda ulikuwa umeisha Ujue.Huyo ni Gabi MARTINELLI

7.Kwenye hizi Picha wewe upo wapi? This is every Arsenal fan Jana

Note; Arsenal imefunga magoli 3 Dakika ya 90 msimu huu.Hakuna team EPL ina uwezo huo

Na ni rekodi ya Arsenal ya msimu mzima wa EPL

IMG_20230305_120855.jpg
 
Ila wazee Kila nikiangalia zile VAR review za Jana
Yani naona Kabisa FA na Marefa EPL wana figisu kubwa zinaendelea.
Why kila siku ni sisi tu?
 
Nyie mafala mnabebwa mpira si huwa ni dk. 90. Goli dk.97 limetoka wapi?
 
Jorginho is a coach Player
Asipocheza anafundisha yaani hii ndio maana halisi ya kuwa na maveteran kwenye timu na hakuna namna Nelson aliupiga mwingi.
Just imagine brother Mkubwa kama Jorginho anakupa hipe na support lake nje kwa pembeni mtu ameshinda mataji kadhaa Lazima uwake tu.
 
Arsenal v Bournemouth

°Mechi kama hizi ndio unazikumbuka mkitwaa ubingwa , Arsenal msimu huu wanagoma kufungwa mpaka filimbi ya mwisho . Msimu huu wamevuna alama 15 katika nafasi ya kupoteza mechi .

°Bournemouth walifanya kila ambalo wanaweza kufanya , hawakuacha space ya kutosha baina ya mistari yao ya mwisho ya ulinzi ( Kiungo na Ulinzi ) kwenye 5-4-1 , pembeni ya uwanja fullbacks wao walikuwa wanapata support kubwa kutoka kwa viungo ili kuepusha 1 Vs 1 dhidi ya wingers wa Arsenal

°Kuanza kwa Vieira leo pamoja na Odegaard , ni kama vile Arteta alikuwa anataka kutengeneza uwiano mzuri upande wa kushoto , kwasababu Saka na Odegaard tayari wana muunganiko mzuri kulia , kwahiyo Vieira na Martinelli / Trossard ndio ilikuwa inahitajika upande wa kulia ( 3-2-2-3 ) Vieira kufanya runs nyuma ya kiungo cha Bournemouth ... lakini shida ni jinsi idadi ya wachezaji wa Bournemouth ambao walikuwa nyuma

°Bournemouth silaha kubwa ilikuwa counter attacks na mipira iliyokufa . Walijua Arsenal wakishambulia space kubwa ipo nyuma ya fullbacks wao ( Tomiyasu na Zinchenko ) na wao walihitaji sana mmoja wa viungo wao wa kati pamoja na wingers wawili kutoka haraka nyuma kwenda kumsaidia Solanke mbele ( kipindi cha kwanza Bournemouth wangefunga hata magoli mawili : credit kwa Ramsdale )

°Jinsi gani substitution zinaweza kuathiri mchezo wa soka basi ndio kwa Mikel Arteta . Msimu huu Saka na Ben White wametengeneza maelewano mazuri sana upande wa kulia . White anajua Saka anahitaji mpira wa namna gani na yeye anatakiwa kufanya movement gani akipiga pasi : uwanjani ni muhimu sana mahusiano , wachezaji kujuana vizuri

NOTE

1: Sio wafungaji tu hata Magolikipa wanashinda mechi pia . Save ya Ramsdale kipindi cha kwanza ilikuwa muhimu sana wakati ikiwa 0-1

2: Neto double save kipindi cha kwanza kutoka kwa Odegaard na Saka

3: Bournemouth walikuwa na plan nzuri lakini bahati mbaya kwao wamekabiliana na timu bora

4: Nelson medali yake itakuwa tamu sana Arsenal wakiwa mabingwa
IMG_20230304_215529.jpg
 
wilsonorumatz_

PICHA 1 INAZUNGUMZA MANENO 1000

It was epic.Ni FILAMU yako tamu ya Mapenzi

Nianze kutambulisha Mashabiki wa Arsenal waliopo kwenye hii picha.

1.Huyu hapa mwanzo ambae hana jezi na anazama ground ni Jorginho FRELO

2.Kuna mtu hapo anakimbilia kwenye kibendera kama goli amefunga yeye.Huyo ni WILLY SALIBA

3.Kuna mtu hapo amelala kifudi fudi ndani ya box.Huyo ni Gabriel MAGALHAES

4.Kuna mtu hapo anashangilia Mbele Neto golikipa wa FC Bournemouth ambae alikuwa anapoteza sana muda.Huyo ni Ben White aka MZEE WA JAMBIA

5.Kuna mtu anashangilia akiwa amelala kule Karibu na Kibendera baada ya kupiga Kona.Huyo ni Nahodha Martin ODEGAARD

6.Kuna mtu hapo yeye anaokota mpira kwenye wavu haraka,huyu sijui alikuwa anafikiria nini.Labda tukaanze haraka mpira tuweke chuma ya 4 kabisa? Lakini Muda ulikuwa umeisha Ujue.Huyo ni Gabi MARTINELLI

7.Kwenye hizi Picha wewe upo wapi? This is every Arsenal fan Jana

Note; Arsenal imefunga magoli 3 Dakika ya 90 msimu huu.Hakuna team EPL ina uwezo huo

Na ni rekodi ya Arsenal ya msimu mzima wa EPL

View attachment 2537881
Nipo kwa captain odegaard kulala kwa odegaard ni ishara kuwa mwili,akili maarifa vyote vilifeli zilibaki kudra za mwenyezi mungu na bahati ....UNBELIVABLE MOMENT
 
Back
Top Bottom