Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Clear points 5 dhidi ya City na Points 8 dhidi ya manyumbu
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Kuanzia dk ya 70 tulipotea sana hata kule mbele tuliondoka kabisaLeo tumecheza vizuri shida tumekosa nafasi nyingi
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Nikweli ila hiyo ndio kawaid ya mpira maana uwezi kuwa bora dkk zote 90Kuanzia dk ya 70 tulipotea sana hata kule mbele tuliondoka kabisa
With Jorginho we exert control like crazy, niliwahi question IQ ya Partey kwenye aspect ya kucontrol mchezo, now you see.Leicester City created 0.01(xG) against Arsenal today - the lowest xG in a Premier League match this season.
Arsenal keshaingia top 4 kwa sasa ni UHAKIKA Congratulations Arsenal
Timu yako Ina magoli mangap na Arsenal ana goli ngapi ?Ukiwakuta Arsenyani wanavyojisifia kucheza mpira mzuri utahisi labda wanaenda kushinda 5 bila kumbe wataotea kigoli kimoja tu, yani wakitekenywa kwenye injury time shughuli ndiyo imeisha.
Swali la kizushi kaka, Saliba aliwahi kujifunga pia na kutoa assist kwaio na wao wanapotea kwa kutokumpa presha? Sio kwamba mtu ame-learn from mistakes?Tumecheza na hii timu ina beki Faes na hatujamanage kumpa presha mpaka ajifunge au atoe assist.
Wakuu tunapotea
Tumecheza mpira mkubwa tu tuache chukiTumecheza na hii timu ina beki Faes na hatujamanage kumpa presha mpaka ajifunge au atoe assist.
Wakuu tunapotea
Arsenal tuna mishabiki milalamishi SanaSwali la kizushi kaka, Saliba aliwahi kujifunga pia na kutoa assist kwaio na wao wanapotea kwa kutokumpa presha? Sio kwamba mtu ame-learn from mistakes?
Kurudi kwa G Jesus kutarejesha upya ufanisi wa MartinelliHuyo ndiye Saka , Mbabe wa 1v1
Halafu Kuna Martinell
Super Mikel Arteta Mwalimu wa mawinga
View attachment 2530021