Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kumbe kasema!? 😂😂😂 Arsenyani banter kidogo tu mnaanza matusi.

Hayo maneno yanaweza kutoka kwa mtu tu ambaye akili yake haipo sawa.
Tulia wewe!
20230210_103505.jpg
 
Kwani yeye kaweka matokeo ya mwaka gani!??
Msimu Aston Villa aliompiga Liverpool 7-2 ni 2020/21 siku hiyo alianza United kufungwa 6, Liverkuku wakafurahi sana baadae kibao kikageukia kwao.

Mechi Liverpool aliyompiga Bournemouth 9 ni ya msimu huu na The Cherries ndiyo timu mbovu kwenye ligi ila Arsenyani wame-struggle kupata points 3 tena wakitokea nyuma ya bao 2.
 
Arsenyani siwapendi kinoma hasa msimu huu mlivyotunyanyasa pale Emirates 😂 banters lazima ziendelee.

Ila Arsenyani mnastahili kubeba ligi, kwanza kwa kazi waliyopiga wachezaji na mashabiki (loyal fans) mliobaki kwa miaka yote hiyo.

Glory hunters wataanza kuvamia timu yenu kama walivyokimbilia City.
 
Msimu Aston Villa aliompiga Liverpool 7-2 ni 2020/21 siku hiyo alianza United kufungwa 6, Liverkuku wakafurahi sana baadae kibao kikageukia kwao.

Mechi Liverpool aliyompiga Bournemouth 9 ni ya msimu huu na The Cherries ndiyo timu mbovu kwenye ligi ila Arsenyani wame-struggle kupata points 3 tena wakitokea nyuma ya bao 2.
Kwahiyo unataka kusema nini kwa mfano?

Haya turudi raundi ya kwanza msimu huu kwenye mechi ya Brentford vs Man Utd, 1st half mlikua mshakula chuma 4. Mpaka mpira unaisha mmekula hizo hizo 4-0.

Wakati huo huo Arsenal alimbamiza Brentford 3-0 pale pale kwake.

Vipi hapo unasemaje mkuu, au tuchambue na mechi ya Brighton!😂😂😂
 
Mwanzo wa msimu tulikuwa hatupo serious. 😂 Nyie nawataka Europa kuwafunga tu midomo.
 
Dogo Nelson maaelezo aliyaelewa, alipewa maelekezo mengi wakati anaingia, moja ya dynamic tulikosa kipindi ESR yupo ndani ni left wide player wa ku hold width kama Saka, solution ilikuwa kupata mchezaji wa kucheza karibu na touchline sababu Bournemouth walibana sana eneo la kati nakuachia nafasi pembeni, winger aliyehitajika ni 1v1 material ku exploit nafasi kubwa inayoachwa pembeni.

Ndio maana naonaga kucheza na Leo Trossard / ESR utahitaji conservative LB kama Kieran Tierney, sababu kubwa Trossard / Leo wanapenda sn kudrift inside, hivyo pembeni kuna kosa ovellappers cuz Zinny naye ni technician km wao so wanajikuta wote wapo inside kitu ambacho kinatengeneza imbalance. Lakini pia hata kuanza na ø & Viera unakuwa na creator wawili, Partey huyu ni destroyer so ni km anakosekana mtu wa kucontrol tempo that's Y Xhaka kukosekana ilipelekea kustruggle dhidi ya hizi timu za kupaki basi hasa kwenye transition kila wakienda ilikuwa hatari.
 
Back
Top Bottom