Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,190
- 4,269
Hii arsenal ya motooo
Tumenyimwa penalty kama trillion hiviSiangalii hii game ila fotmob inasema kuna potential penalty 2.
Ni kweli?
Aibu naona mm aiseee.Hii team inabebwa sana
Ile nilivyoiona nikasema kama huyu hajashika anaeshika inakuaje?Ila VAR inatukandamiza matuta mawili tumenyimwa.Ile ya Orde tuta la wazi wale jamaa wa VAR hawakuliona au wanatufanyia makusudi.
Yule aliye shikari mpira kipindi cha kwanza mpaka watangazaji wakawa wanahoji mkono unaanzia wapi.
Tukupige ban?Leo Arsenal hatoboi, ushindi wake ni sare, akishinda nipigwe ban.
Ulitaka abebwe man u tukiwatukana mnatuona wabayaHii team inabebwa sana
Kafunika Penalties ngapi!? Mbona hili suala hamzungumzii kabisaRefa fala sana, mpira umechezwa nje ya muda kuwatafutia washamba hawa goli la bure, achunguzwe
Tufanye 2-2 au vipi [emoji3][emoji3]Refa fala sana, mpira umechezwa nje ya muda kuwatafutia washamba hawa goli la bure, achunguzwe
Nakazia hapa.Refa fala sana, mpira umechezwa nje ya muda kuwatafutia washamba hawa goli la bure, achunguzwe
Ramsadale shati lile, anafungwagwa magoli mepesi sanaMaybe next match should start Turner
Vip tumuite moderatorLeo Arsenal hatoboi, ushindi wake ni sare, akishinda nipigwe ban.
Vipi had Sasa Hali yakoLeo Bournemouth tuna jambo letu, hawa kima wakishinda naomba moderator anipige ban japo wiki.
We ukufe TU, hauna faidaNakuambia hivi leo mkishinda nipigwe ban.View attachment 2537219