computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Arsenal anacheza kama team ya Champions league
BRAVO
BRAVO
BRAVOSiangalii hii game ila fotmob inasema kuna potential penalty 2.
Ni kweli?
Huyu refa ni fan wa united.. mara ya tatu watu wanashika mpira lakini anagoma kwenda kwenye var.Siangalii hii game ila fotmob inasema kuna potential penalty 2.
Ni kweli?
Opponent wenu wa karibu ni City, United inatoka wapi hapo.Huyu refa ni fan wa united.. mara ya tatu watu wanashika mpira lakini anagoma kwenda kwenye var.
Hakuna kitu hapa, refa kawatafutia goli kilazima.Hii fighting spirit ni kubwa sana manina
Kuna Kenge wanajidai arsenal ila wanakata tamaa mapema na kuanza kuandika upuuziHii fighting spirit ni kubwa sana manina