Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Sawaa tunakuaminiHakuna ushindi leo, niamini mimi.
Sawaa tunakuaminiHakuna ushindi leo, niamini mimi.
Zile penalt3 mbona huzisemei imekuwa rede ile??nasemaje kama unaumia chomoa mwenyeweRefa hakuwa fair kabisa, hii mechi Ass'anal kapewa upendeleo wa ajabu sana.
Chagua ujipige au Upigwe wewe mkuuNakuambia hivi leo mkishinda nipigwe ban.View attachment 2537219
Hii team inabebwa sana
Tulia kitobo wewe tukushughulikie. Si umewashobokea wanaume😂😂Refa anachezesha mpira Dk zootew
Ila li man city litamkalisha tuTena saaana
Yaani wanatafutiwa kombe kwa lzm huu mzunguko wa pili
SawaLeo Arsenal hatoboi, ushindi wake ni sare, akishinda nipigwe ban.
Najua unaumia na tutaendelea kukuumiza mpaka msimu uishe, husiache kuja kwenye jukwaa pendwa la Arsenal.Ila li man city litamkalisha tu
Tena saaana
Yaani wanatafutiwa kombe kwa lzm huu mzunguko wa pili
ActiveKwamba Ass'anal ameshafika level hzo? Bado sana, Ass'anal ina wachezaji wa kiwango cha chini sn sema upepo tu, nakuambia leo Ass'anal akishinda nipigwe ban.
Waone hawa mataahira
Mpumbavu tu anaweza kuzungumza upuuzi huuHii team inabebwa sana
Nimemuelewa sn leo, hawa watoto wa Hale end wanajua ball.Nelson kafunga na ka assist kwa white
Yana wivu sana haya manyumbu na makengeMpumbavu tu anaweza kuzungumza upuuzi huu
Na bado