
Vieira
Tomi
Partey

️Mkuu unajua kuna forwards na attackers?Kumbuka sio kila formation ina kila nafasi, kuna nafasi zingine zinapotea kulingana na formation na falsafa kocha anayotumia
Mfano 4-3-1-2 inatumia strikers wawili, CAM (CF) na CM watatu, hii formation haina wingers
3-4-1-2 inatumia strikers wawili, CAM (CF) na CM wawili na wing-backs, hii formation pia haina wingers
Halafu kumbuka kuwa CF sio official position, Hata AM sio ofocial positions kwa sababu AM ni too much general. kwenye mpira oficial position ni
GK, CB, LB, RB, LWB, RWB, CM, CDM, LM, RM, CAM, LW, RW, FALSE NO. 9, ST. (Nafikiri sijaacha nafasi muhimu. Zinazoongezeka kwenye hizi ni kuelezea tu nafasi zile zile kwa maneno mengine
Mfano
FOWARD - (CAM, Wingers, Strikers)
CENTER FOWARD (CAM)
Eeh utofauti wake nini?Mkuu unajua kuna forwards na attackers?
OFFICIAL ARSENAL TEAM NEWS
XhakaVieira
WhiteTomi
JorginhoPartey
Very happy to see Arteta starting with 2 attacking 8’s, perfect time to do against Bournemouth at home
Need to put in a BIG performance and get those 3 points on the board! COYG️
Ndiyo maana unazugia na Tecno? 😂Kuna boda boda mwezi uliopita akiwa amevaa jezi ya Asenyani kanikwapua simu. Kwa hii laana lazima mpigwe kenge nyie.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hamna jinsi mkuu yamenirudisha nyuma haya makenge. Nayachukia sanaNdiyo maana unazugia na Tecno?![]()
Kwamba Arsenal afungwe na Bournemouth ??Leo Arsenal hatoboi, ushindi wake ni sare, akishinda nipigwe ban.