Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

arsenal fans in second half
20230304_185746.jpg
 
Naona kuna vicharacter vya kiuchoyo choyo kina saka odegaard na martinell wanaanza kuwa navyo chance aliyopata saka kwenye shoot hatua za awali ni wazi ilitakiwa ampasie martinell afunge ila kwa ubinafsi akaona afunge yeye....sio mbaya tuna dk 45 za kujiuliza
Hamtoki leo amini kwamba.
 
Wana uchoyo usio na sababu.
 
Back
Top Bottom