Umesema ukweli ila tu nikwambie kwamba asilimia 60 ya michezo migumu arsenal imeshacheza na imepoteza mmoja tu.Acha tu waniite mamluki ila me naongea ukweli, points 8 Kwa pep ni ndogo sana labda kama aendelee kusua sua kama mwanzo
Mfano game ya leo tungesuruhu zilikuwa zibaki point 3 na mchezo mmoja mkononi, tufanye huo mchezo tungeshinda zimekuwa points 6
Sasa unamzidi points 6 pep ambaye bado una game nae home and away, na wote tunajua ukweli ni kwamba city uwezo wa kutupiga anao, kwahiyo kama akishinda hizo game 2 ingekuwa tuna level points
Kama shabiki wa Arsenal nataka sana kubeba hii ndoo ila haitokuwa rahisi hivi kama ambavyo tunataka kujifariji, pep kama kocha mzoefu kuliko wetu na wachezaji wake Wazoefu kuliko wetu
Kuanzia game ya tote city ni kama vile wameamka Fulani hivi na ikitokea waka maintain consistency kuanzia hapa hadi mwisho sio ajabu wao wanaweza, swali je nasie tunaweza?
Tunaweza kucheza under pressure kila game bila kupoteza focus yetu? Tunaweza kumantain hii form hadi mwisho? Tunaweza kuendelea kuwa na focus ata kama ikitokea tukapoteza game kadhaa?
Ukweli ni kwamba haiwezi kuwa rahisi ila kwakuwa hatujafika hapa kwa bahati mbaya basi batuna budi kukomaa tu hadi game ya mwisho, ila ukweli utabaki kuwa sio rahisi kama ambavyo tunataka kuaminishana
Vipi bado unaona kuna timu za kumaliza hapo juu?Aliyoyaongea yote Pundit wetu Mzee Ambigile Mwasapile ni sahihi kabisa ila alichokosea ni hapa:
"ATAKAYEMALIZA JUU YA ARSENAL NI BINGWA "
Nina uhakika kuna timu zaidi ya 2 zitakazo maliza juu ya Arsenal, je Epl ya msimu huu kutakua na mabingwa zaidi ya wawili?
Pamoja mkuuUmesema ukweli ila tu nikwambie kwamba asilimia 60 ya michezo migumu arsenal imeshacheza na imepoteza mmoja tu.
Tumu zote ni ngumu ila huwezi kuwa bingwa uingereza bila kuwachakaza vigogo jambo ambalo arsenal wamefaulu kwa 60 % hivyo sina wasiwasi gemu na mancity tutapata ushindi pia mbele ya Pep.
Fun fact ya hii picha na off topic ..:Aaahhh wapi, hawa kwa hayo magoli yao ya kubahatisha kuchukua ubingwa bado sana, mechi 4 za mwisho wa ligi watakua wanapambana na Liverpunda kuwania top4 labda kama huzijui hizi Nyani. View attachment 2491898
Jana nani alikua edda mkuu ndugu?Kwani mechi mliyopigwa 3 odegard alikuwa edda[emoji1787]
Huyu chura bado yupo kumbeRashfooooooooooordView attachment 2480980
Bro, focus yetu ni next game dhidi ya Everton mambo ya April yatajulikana ikifika AprilUgumu kwetu mechi za mwezi Aprili cha msingi tuzichange points Februari na Machi ubingwa huo.
[emoji23][emoji599] Arsenal are ready to offer upto 65m euros for Mudryk
(SportArena - [emoji283] to [emoji280])
sportarena.com/uk/footboll/up…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]([emoji281]) According to @arubio_marca .. it seems that Arsenal is now leading the race to contract with Joao Felix .. Arsenal wants to compensate for the absence of Gabriel Jesus.
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji599]Joao Felix file has entered the last stages. Arsenal and United have begun final talks with Jorge Mendes for the player
(@AlexisBernard10 exclusive) [emoji282]
Tuko pamoja kimawazo. Nasubiri tufika game 28-30Acha tu waniite mamluki ila me naongea ukweli, points 8 Kwa pep ni ndogo sana labda kama aendelee kusua sua kama mwanzo
Mfano game ya leo tungesuruhu zilikuwa zibaki point 3 na mchezo mmoja mkononi, tufanye huo mchezo tungeshinda zimekuwa points 6
Sasa unamzidi points 6 pep ambaye bado una game nae home and away, na wote tunajua ukweli ni kwamba city uwezo wa kutupiga anao, kwahiyo kama akishinda hizo game 2 ingekuwa tuna level points
Kama shabiki wa Arsenal nataka sana kubeba hii ndoo ila haitokuwa rahisi hivi kama ambavyo tunataka kujifariji, pep kama kocha mzoefu kuliko wetu na wachezaji wake Wazoefu kuliko wetu
Kuanzia game ya tote city ni kama vile wameamka Fulani hivi na ikitokea waka maintain consistency kuanzia hapa hadi mwisho sio ajabu wao wanaweza, swali je nasie tunaweza?
Tunaweza kucheza under pressure kila game bila kupoteza focus yetu? Tunaweza kumantain hii form hadi mwisho? Tunaweza kuendelea kuwa na focus ata kama ikitokea tukapoteza game kadhaa?
Ukweli ni kwamba haiwezi kuwa rahisi ila kwakuwa hatujafika hapa kwa bahati mbaya basi batuna budi kukomaa tu hadi game ya mwisho, ila ukweli utabaki kuwa sio rahisi kama ambavyo tunataka kuaminishana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji599]A pure No 9 is not high on Arsenal agenda. Mudryk top target to fill Jesus void
(@gunnerblog [emoji282])
Arsenyetooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arsenal have agreed in principle to sign Ukraine winger Mudryk 21.
Ukitembea na hii attitude hupati ubingwa ng'o. Nadhani falsafa ya Mikel ni game-by-game. Shinda mechi ya kesho then jiandae na mechi inayofuata. Usiangalie matokeo ya mwenzako wewe fanya wajibu wako.Ugumu kwetu mechi za mwezi Aprili cha msingi tuzichange points Februari na Machi ubingwa huo.
Ndo ubingwa wenu huo msimu huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiki ndo kimewaponza man u, wakaweka focus gemu ya arsenal wakaishia kudrop points na palaceUkitembea na hii attitude hupati ubingwa ng'o. Nadhani falsafa ya Mikel ni game-by-game. Shinda mechi ya kesho then jiandae na mechi inayofuata. Usiangalie matokeo ya mwenzako wewe fanya wajibu wako.