Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Upo sahihiStill Partey ndio Arsenal mwenyewe ,Elneny sio player ambaye ni mbovu ila inategemea ameamkaje la umuhimu ni kuomba Partey asipate majeraha,Partey ana kila kitu pass skills,marking ,hata kuscore pia mean ana offer vitu vingi kwa wakati mmoja
️
#AFC
trophies hana maajabu ,kwenda game 5 mfululizo kwa kufunga,kuassist au kucreate chances ni big no hana maajabu ,Jesus hajafunga muda but mchango unauona ana kitu ana offer ,Nketiah ni player ambaye anaamka kutokana na upepo ukoje unaweza kushangaa leo vs West ham akakupa furaha but 2 games za Brighton na Newcastle akarudia mambo yake yale yale ya kudissapoint watu