Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,672
Huyu trossard ni mtu na nusu, hapa tumepata nguvu zaidi kwenye kikosi
Sio mbaya mkuu aggregateMsimu wa tano hapo Emirates ktk EPL hujawahi pata hata droo,so uwezo wako umeishia hapo sema shukuru zilikiwa Chache, Eriksen kapunguza mbili na De Gea moja. Huna timu ya kuizuia Arsenal.
Atatusaidia sana kwenye mbio za ubingwa huyuHuyu trossard ni mtu na nusu, hapa tumepata nguvu zaidi kwenye kikosi
Endelea kujipa moyo hii sio UEFA nenda kapambanie TOP 4 ndio size yako, Newcastle anakupumulia.Sio mbaya mkuu aggregate
Arsenal 4 vs manchester united 5
Tuliwapiga mmetupiga kazeni tu mpone ule ugonjwa wenu unao anzaga mwezi 3 mtakuwa mabingwa.
Mmehamia Tena Mwez wa 3, sioSio mbaya mkuu aggregate
Arsenal 4 vs manchester united 5
Tuliwapiga mmetupiga kazeni tu mpone ule ugonjwa wenu unao anzaga mwezi 3 mtakuwa mabingwa.
Nafurahi umeludi mkuuMmehamia Tena Mwez wa 3, sio
X mass ,After world cup, after Jesus injury,
Uwezo wangu umeishia hapo wapi? Kama hujui ume mquote shabiki wa ArsenalMsimu wa tano hapo Emirates ktk EPL hujawahi pata hata droo,so uwezo wako umeishia hapo sema shukuru zilikiwa Chache, Eriksen kapunguza mbili na De Gea moja. Huna timu ya kuizuia Arsenal.
Waionaje hali?usiwalaumu sana hao kina kitchen party, huo ndio uwezo wao wa mwisho wanapokutana na wanaume wa shoka.
Kipindi cha pili Anthony na The ghost wana magoli yao.
Nyani leo lazima wale ndizi 3 kama zile walizolishwa OT.
Anategemea magoli ya kuvizia,mwamba akawa anatembea nae kila sehemu.Mnajua rashidy toka ameingia tomiyasu mwamba alitulizwa kimya
Aaahhh wapi, hawa kwa hayo magoli yao ya kubahatisha kuchukua ubingwa bado sana, mechi 4 za mwisho wa ligi watakua wanapambana na Liverpunda kuwania top4 labda kama huzijui hizi Nyani.Sio mbaya mkuu aggregate
Arsenal 4 vs manchester united 5
Tuliwapiga mmetupiga kazeni tu mpone ule ugonjwa wenu unao anzaga mwezi 3 mtakuwa mabingwa.