Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona kuna baadhi ya mashabiki wanatumia muda mwingi kujitia wasiwasi kuhusu city mara April mara kikosi kipana..

Inabidi tuelewe huu ni mpira na kila kitu kinawezekana iwe kupoteza ama kushinda tunachopaswa sisi kama mashabiki na wapenzi wa arsenal ni kufurahi timu yetu kadili inavyopata matokeo haiwezekani muda huu wa furaha tujitie simanzi ambazo hazipo..

NB: kwakuwa city hana kibali cha kushinda mechi zote za ligi, Arsenal inaweza ikapoteza mechi zote vs city na bado ikawa bingwa
 
Sasa hivi kuna baadhi ya mashabiki wa Arsenal humu ndani mmeanza kua matured na kuanza kujielewa, tatizo kuna mashabiki wengi humu hua hawapendi kabisa kusikia jambo lolote negative kuhusu wachezaji, kocha na timu yote kwa ujumla.
Wao muda wote wanataka kusikia mambo matamu tu na shabiki anaejielewa akijaribu kuzungumza kuhusu uhalisia wa mambo anaanza kushambuliwa kwa matusi, kebehi na kejeli na kuonekana ni mamluki.
Ukienda kwenye majukwaa ya Chelsea, Man United na Liverpool unaona jinsi mashabiki wake walivyo huru kukosoa iwe ni mchezaji, kocha au timu kwa ujumla pasi na kushambuliwa na mashabiki wenzake.
Kazi ya shabiki ni kushangilia na kukosoa sio kujitia wewe ni mtaalam wa ufundi wa benchi la arsenal..
Timu inapopata matokeo mazuri shangilia inapopata matokeo mabaya kosoa..

Sasa unakuta mtu yeye matokeo mazuri anakosoa matokeo mabaya anakosoa utadhan umu ndani kuna arteta ama edu.
 
Naona kuna baadhi ya mashabiki wanatumia muda mwingi kujitia wasiwasi kuhusu city mara April mara kikosi kipana..

Inabidi tuelewe huu ni mpira na kila kitu kinawezekana iwe kupoteza ama kushinda tunachopaswa sisi kama mashabiki na wapenzi wa arsenal ni kufurahi timu yetu kadili inavyopata matokeo haiwezekani muda huu wa furaha tujitie simanzi ambazo hazipo..

NB: kwakuwa city hana kibali cha kushinda mechi zote za ligi, Arsenal inaweza ikapoteza mechi zote vs city na bado ikawa bingwa
Hi ndio point ya msingi
 
Ornstein: “#Arsenal and Dortmund have both agreed terms with Real Valladolid for Ivan Fresneda, €15m fee with the player loaned back for the rest of the season. The player now has to choose which club he wants to join.”

Arteta’s vision could be the clincher here. #afc
 
Fresneda anatakiwa kuchagua Leo timu kati ya Arsenal au Dortmund

Player will make a decision today as per @GuillerRai / @David_Ornstein

Arsenal and Borussia Dortmund have both agreed terms for Ivan Fresneda, a fee of €15million ($16.2m; £13.1m), with Fresneda to be loaned back to the Spanish side for the rest of this season.

Player to decide between these 2 clubs,

(@David_Ornstein / @GuillerRai)
 
Nilisema humu ,Ni finisher mzuri,

Chini ya wale watu 10 ,atafanya vzr tu,

Tatizo Eddie amecheza Sana Cups ,ligi alipata nafasi mechi 8 msimu uliopita mechi za mwishon akafunga goli 5, Lakini watu baaadhi hawakumuamini

Nketiah Ni finisher mzuri kuliko hata Jesus ,ila tu in terms of full package kazidiwa na Jesus.,maana Jesus Hadi leadership uwanjan na nje ya uwanja yupo vizuri , kwasasa kaumia Lakini anashinda dressing room anahamasisha.

Nketiah Ni finisher mzuri pia kuliko hata Darwin Nunez ,

Ni vile sababu hatujamnunua Ni mtoto wa academy
Na wewe ulikuwa miongoni mwa watu ambao tulikuwa hatumuamini Nketia. Japo sina kumbu kumbu vzr ila nadhani ni Will Jr ndo alikuwa analeta tactical strengths zake, na wengi wetu tulianza angalau kuweka imani baada Lacazette na Auba kuzingua mwishoni mwa msimu jana.

Zaidi ni kwamba wakati anapewa na mkataba mpya na kupewa jezi namba 14 bado wengi hatukuwa na imani na tuliona kuwa hakustahili kupewa hiyo jezi. Na kuna mtu alisema kabisa kwamba labda arteta kuna kitu cha ziada anakiona ila kwa yeye haoni faida yoyote kwa Nketia
 
Inakera mtu akiwa hatumii logic halafu anajiona yupo sahihi
Ni wewe ndiye unaona hatumii logic kwa kuwa una uelewa zaida yake ila yeye anajiona yuko logically. Usikereke nae, nenda nae kadri ya kiwango chake kisha atakuwa bora
 
Na wewe ulikuwa miongoni mwa watu ambao tulikuwa hatumuamini Nketia. Japo sina kumbu kumbu vzr ila nadhani ni Will Jr ndo alikuwa analeta tactical strengths zake, na wengi wetu tulianza angalau kuweka imani baada Lacazette na Auba kuzingua mwishoni mwa msimu jana.

Zaidi ni kwamba wakati anapewa na mkataba mpya na kupewa jezi namba 14 bado wengi hatukuwa na imani na tuliona kuwa hakustahili kupewa hiyo jezi. Na kuna mtu alisema kabisa kwamba labda arteta kuna kitu cha ziada anakiona ila kwa yeye haoni faida yoyote kwa Nketia
Mbele ya Jesus Bado ataanza Jesus ,Mimi namkubali in term of finishing,

Vitu vingine anamkaribia Jesus ,

Niliamini Eddie mbele ya Hawa kina Øde,saka ,Zinny ,hawez kushindwa kufunga

Ni sawa na wanaomtilia shaka Fabio vieira alikosa pre season ,akawa injury, Lakini mechi chache alizopata kafanya Kitu

Sasa FABIO VIEIRA muweke kwenye Timu hii ya kina xhaka,Partey ,saka , Martinell

Utaona anakupa performance nzuri,
 
Sasa hivi kuna baadhi ya mashabiki wa Arsenal humu ndani mmeanza kua matured na kuanza kujielewa, tatizo kuna mashabiki wengi humu hua hawapendi kabisa kusikia jambo lolote negative kuhusu wachezaji, kocha na timu yote kwa ujumla.
Wao muda wote wanataka kusikia mambo matamu tu na shabiki anaejielewa akijaribu kuzungumza kuhusu uhalisia wa mambo anaanza kushambuliwa kwa matusi, kebehi na kejeli na kuonekana ni mamluki.
Ukienda kwenye majukwaa ya Chelsea, Man United na Liverpool unaona jinsi mashabiki wake walivyo huru kukosoa iwe ni mchezaji, kocha au timu kwa ujumla pasi na kushambuliwa na mashabiki wenzake.
Suala sio negative bali negativity zenye fact. Mfano unakuta mtu anakwambia kuwa Arsenal haiwezi kuchukua ubingwa kwa kuwa bado wana makosa mengi ila ukimuliza makosa yapi hasemi...

Mwingine anaamua kukosoa kwa sababu ya mapenzi yake na mchezaji fulan ambae hapewi nafasi ila akiulizwa zipi sababu za msingi hana cha kusema...

Sasa watu kama hao kwanini wasijibiwe kadri ya negativity zao!!!???

Nakukumbusha kitu, msimu juzi wakati ananunuliwa Partey Castr alisema hakukuwa na haja ya kununua DM kwanza badala yake tungeanza na AM au basi ingekuwa bora kama wangenunuliwa wote. Km unakumbuka ilikuwa ni battle ya facts humu ndani lkn mwisho wa siku kuna mtu alidiliki kusema ina maana castr ana jicho la kuona mapungufu ya Arsenal kuliko Arteta!!!??? Maana kwa kipindi hicho mambo mengi aliyokuwa anayasema castr hapa ndo yalikuwa yanatokea
 
IMG_20230123_132604_259.jpg
 
Huku mashabiki wa Arsenyani focus yao ni: -
Arsenal Ndoo
Haaland kiatu

Aaron Arsenal mpe basi japo pole ndugu yako allypipi maana ule mpira mliopiga kuanzia dakika ya 70 ilikua ni utatoa hutoi mpaka tukaamua kutoa ki roho safi tu.
Hii chini ni selfie aliyojipiga ndugu yangu allypipi baada ya dakika 90.View attachment 2492409
Mkuu uwezi amini nilikuwa naombea arsenal ashinde nipate hela mimi sina utani kwenye betting
Screenshot_20230122-235844.jpg
 
Suala sio negative bali negativity zenye fact. Mfano unakuta mtu anakwambia kuwa Arsenal haiwezi kuchukua ubingwa kwa kuwa bado wana makosa mengi ila ukimuliza makosa yapi hasemi...

Mwingine anaamua kukosoa kwa sababu ya mapenzi yake na mchezaji fulan ambae hapewi nafasi ila akiulizwa zipi sababu za msingi hana cha kusema...

Sasa watu kama hao kwanini wasijibiwe kadri ya negativity zao!!!???

Nakukumbusha kitu, msimu juzi wakati ananunuliwa Partey Castr alisema hakukuwa na haja ya kununua DM kwanza badala yake tungeanza na AM au basi ingekuwa bora kama wangenunuliwa wote. Km unakumbuka ilikuwa ni battle ya facts humu ndani lkn mwisho wa siku kuna mtu alidiliki kusema ina maana castr ana jicho la kuona mapungufu ya Arsenal kuliko Arteta!!!??? Maana kwa kipindi hicho mambo mengi aliyokuwa anayasema castr hapa ndo yalikuwa yanatokea
Alikataa Partey kusajiliwa Kabla ya AM, lakin kumbuka alimtaka Aouar ,tukamwambia Odegaard Ni AM akabisha,Sana, na Arteta aliwatumia Rowe na odegad Kama AM , je tulinunua AM gan ,mana Huyo Castri alidai Odegaard Ni winger .

Humu Kuna negativity za ajabu sana
 
Back
Top Bottom