Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe jamaa una hoja na ndicho nilichokiona leo, nyakati Kama hizi, ndio mbio za Ubingwa zinaanza ,

Zinny na Jesus ningekuwekea video hapa uone wanavyoongea dressing room ,nashindwa kuweka video hapa
Mkuu pep saizi anatusubiri tu kwenye game zetu maana anajua fika tutakuwa na pressure juu juu kama kuku kwenye joto kali
 
20230122_145210.jpg
20230122_145210.jpg
 
1st half started a bit sloppy at least for the entire team. White, Partey na Martinelli walikuwa worse - White imetokana na kadi hivyo hakuwa na budi kucheza kwa umakini asiangushe timu.

2nd half ingizo la Tomiyasu limeleta spirit mpya upande wa kulia na deep central right, ilifikia hatua Arsenal wakabaki mabeki wawili na juu yao akibaki Partey.

Partey alirudi kiasi mchezoni na kuanza kuhimili, huku mstari wa Tomiyasu, Xhaka na Zinchenko ukitengenezwa hapa ndio Arsenal ilianza ku-control mpira kwa kiasi chake.

Saka alikuwa tishio na Tomiyasu wamehimili vyema wing ya kulia. Zinny alikuwa the best kwa kila hatua, Xhaka showed determination, Nketiah played his part right. Trossard showed determination na alistahili kuingia dakika ya 65.

What I've learned from the game? Saliba ni mchezaji mzuri lakini bado anakosa utulivu na kusoma mchezo tofauti na Gabriel Magalhães.

Saliba anachelewa kureact likitokea tukio la haraka refer goal la kwanza la Manchester United pia utoaje wake wa pasi ni very predictable timu kupewa pressure.

Martinelli has been awful toka World Cup Qatar kumalizika 1st alipata chance mbili za kupenyeza mpira kwa Saka na Odegaard walikuwa kwenye nafasi nzuri akufanya hivyo.

Anahitaji kusimama na kuwa bora tena na challenge iliyokuja mbele yake Trossard na akirudi Gabriel Jesus anaweza kupoteza game time asipojitathmini.
 
Una safari ndefu sana ya kujifunza mpira
Acheni kukufuru nyie viumbe,
Umfunge Man Utd zaidi ya goli 3 kwa kikosi gani hasa mlichonacho?
Hilo goli la 3 lenyewe refa aliamua kuwapa tu ili mpunguze maneno maneno, maana kabla ya mechi mlikua mmeshaanza kumtuhumu kua atawabeba united.
 
Hongereni Gunners, ule msako mlioupiga dakika 20 za mwisho ilikua haina budi mpate goli.
Saka leo ndio MoTM, huyu dogo akikutana na beki inayovuja kama Shaw hua anang'aa kwelikweli.
View attachment 2491891
Sio kwamba shaw anavuja, timu zote zinazokutana na Arsenal Saka hua anakabwa na wachezaji wawili hadi watatu ila kwa leo Man u alikua ni shaw tu kwaiyo lazima uone anavuja sana.
 
Mkuu pep saizi anatusubiri tu kwenye game zetu maana anajua fika tutakuwa na pressure juu juu kama kuku kwenye joto kali
Kila mechi huwa ina mbinu yake na sometimes pia wachezaji nao wana ari zao kila mechi.

Pep naye ni mtu wa mpira ana pressure na Arsenal sifikirii kama atakuja kwa mazoea. Kwa ari waliyonayo wachezaji wa Arsenal, mentality yao ni ushindi ni lazima uwe na mentality ya ushindi kabla ya kushinda.

Binafsi Man Utd leo hatupaswi kumbeza wamecheza vizuri saaana wanakosa Unity tu. Niliangalia interview za wachezaji wa Arsenal kabla ya hii mechi hasa Odê na Saliba ni watu ambao walikuwa wamekamia mechi na Utd. Mechi baada ya mechi makosa yanapungua kwa Arsenal.
 
David Beckham’s son, Romeo - a BIG Arsenal fan - on Instagram: “Sleep tight dad ️” #afc


Beckham Ni mzaliwa wa London aliyeenda Manchester United kutafuta ugali , ndio maana mwanae Romeo Ni mshabiki wa Arsenal

Na Mara kadhaa Beckham alikuwa anafanya mazoezi Colney
IMG_20230122_230727.jpg
 
Sio kwamba shaw anavuja, timu zote zinazokutana na Arsenal Saka hua anakabwa na wachezaji wawili hadi watatu ila kwa leo Man u alikua ni shaw tu kwaiyo lazima uone anavuja sana.
Saka akigundua unataka kumsumbua Sana ,huwa anatabia wanakuwa karibu na ode wanapiga Killer pass

Ndio maana naweza kukupa homework Ni beki gani mechi iliisha ukasema kweli leo Saka kakamatika ,ndio maana mpango kazi huwa anawekewa beki wawili wamdhibiti,

Ikitokea silaha yake ya pili Ni kupiga pass za karibu kwa Øde
IMG-20221005-WA0002.jpg
 
Nadhani sote tunakumbuka mbio ambazo Pep na Klop walikuwa wanakimbizana na muda huo wote wana wachezaji matured enough

Klop aliwahi kumwacha pep points 14 ila mwisho wa siku akazikata, Liverpool yenye wachezaji matured enough kuliko wetu, Liverpool yenye wachezaji bora kwa kipindi kile kuliko wetu, Liverpool yenye wachezaji wazoefu kuliko wetu

Ni kheri uwe unafukuza mwizi kimya kimya kuliko kuwa unafukuzwa kimya kimya na mtu mwenyewe anaekufukuza ni pep na istoshe wachezaji wa city wana uzoefu na mbio za ubingwa kuliko sie

Japokuwa kila mwana Arsenal anatamani kuona hatutoki pale juu ila ukweli ni kwamba sio rahisi hivo kama unavotaka kutuaminisha mkuu
Wenzio tayari wameshakaza mafuvu ya vichwa vyao, hawataki kabisa kusikia habari nyingine zaidi ya Arsenal kubeba ndoo na Haaland kiatu.
Sitashangaa wenzio kukuita mamluki/msaliti kwa huu ukweli uliowaambia.
 
Back
Top Bottom