Asante kwa hizi taarifa, maana kuna mashabiki humu wanavyochambua ile game na Newcastle utasema Arsenal haawakufanya kitu kabisa uwanjani, wanadai wachezaji walikua poor kabisa. Kuna mijitu bure kabisa, mpira wenyewe haijui, ooh martinel hakuwa na maamuzi! takataka kabisa
Dah ndio maana Mimi matokeo Kama haya nakaaga kimya kwanza watu waoongee kwanza
Arsenal Ile mechi alipiga mpira ambao Ni timu chache Sana zitatoka salama
Eddie Howe anajifanyaga anatembea na 4-3-3
Ila ilibidi abadili kwenda 5-4-1
Akafanya pia Saka na martinel wasiwe 1v1
Saka alikuwa anazingirwa na watu wawili au watatu ,same to Martinell
Perfomance Kama Zile kwasisi ambao tunaangalia Zaidi ya matokeo lazima ujivunie
Niliona performance Kama Zile dhidi ya mancity pale Emirates last season na dhidi ya Liverpool pale Emirates ,zote tulipoteza ,ila Zile performance niliamini tunaenda kupigania UBINGWA ,
Toka preseason nilikuwa nikisema tunapigania ubingwa Kuna watu waliona vichekesho ,
Sasa Performance Kama ile dhidi ya Newcastle ,Ni dhahiri Kuna timu kibao zitachezea vipigo
NDICHO PEP GUARDIOLA Kilichomuogopesha
Sio Pep wote wapenda mpira wameingia na wasiwasi mkubwa Sana,
Maana Newcastle alianza kupoteza na muda ,akaona point 1 tamu,
Bado Arsenal aliendelea kupeleka Moto tu
Hapo Penalties 2 zimekuwa muted