verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,126
- 6,179
Ndo ubingwa wenu huo msimu huu
Ndo ubingwa wenu huo msimu huu
Hiki ndo kimewaponza man u, wakaweka focus gemu ya arsenal wakaishia kudrop points na palaceUkitembea na hii attitude hupati ubingwa ng'o. Nadhani falsafa ya Mikel ni game-by-game. Shinda mechi ya kesho then jiandae na mechi inayofuata. Usiangalie matokeo ya mwenzako wewe fanya wajibu wako.
Ukweli mchungu, City ndio timu ya kuifunga kwa sasa. Experience ya city ni second to none, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ni next level, squad depth kwa kila position ni nzuri. Tuwe wakweli, tunahitaji kuifunga City ili tuonyeshe uwezo wetu na dhamira ya kuchukua epl.Kuna kitu watu mnajisahau mnapodai City haiwezi kuizuia Arsenal.
City alikua anaongozwa 2 dhidi ya timu inayopenda kupaki basi na ikayabinua matokeo mpaka kua 4 kwa 2. Imepunguza gape la points vizuri tu.
Ina wachezaji wako exposed kwenye hizi pressure for years. Ina options zaidi ya 1 kwa kila nafasi isipokua kipa (sisi tuna hii quality?).
Arsenal tupo FA (tutakutana nao huko), tupo Europa na tuna hii presha ya ligi. Tuna kikosi cha kutuwakilisha kote huko na tukapata same output? Jibu ni hapana.
Tulicheza na Brighton baada ya siku 3 tukacheza na Newcastle na unaona kabisa kwamba kikosi kina fatique. Its allowed to dream but we should not overstep tukasahau angalia vitu vya msingi
Kuna huyu kiumbe hapa for short term plan na anauwasha kisawasawa nadhani uliona mwenyeweHongereni Gunners,,,,
Msimu huu wakuwazuia alikuwa aidha sisi ama city, sio mbaya tumegawana hizo alama sita! Kazi kwenu mpambane na citizens!
Saka, Yuko vzr Sana yule chalii, bad luck timu ya taifa hapati minutes za kutosha !
Zinchenko mtu pia,,,,
Kipa wenu ana mawenge mawenge,,,,
White Jana ulimi nje, rashy alimuendesha awezavyo, na ile yellow kocha akaona Bora amtoe ,,,
Martineli , bado aisee hakuwa threat kiivo, !
Partey pia hakuwa na game nzuri Jana,,,, goli letu la Kwanza lilianzia kwake, tungekuwa na Casemiro nadhani ingekua battle nzuri kwenye midfield !
!!!!! Mngempata Mudrky mmngetisha Sana aisee, Bora alienda Chelsea
Katika hao watu wanaojisahau Arteta na wachezaji nao wamo au?Kuna kitu watu mnajisahau mnapodai City haiwezi kuizuia Arsenal.
City alikua anaongozwa 2 dhidi ya timu inayopenda kupaki basi na ikayabinua matokeo mpaka kua 4 kwa 2. Imepunguza gape la points vizuri tu.
Ina wachezaji wako exposed kwenye hizi pressure for years. Ina options zaidi ya 1 kwa kila nafasi isipokua kipa (sisi tuna hii quality?).
Arsenal tupo FA (tutakutana nao huko), tupo Europa na tuna hii presha ya ligi. Tuna kikosi cha kutuwakilisha kote huko na tukapata same output? Jibu ni hapana.
Tulicheza na Brighton baada ya siku 3 tukacheza na Newcastle na unaona kabisa kwamba kikosi kina fatique. Its allowed to dream but we should not overstep tukasahau angalia vitu vya msingi
Sijui mpira ulisimuliwa offside ipo wapi,Acheni kukufuru nyie viumbe,
Umfunge Man Utd zaidi ya goli 3 kwa kikosi gani hasa mlichonacho?
Hilo goli la 3 lenyewe refa aliamua kuwapa tu ili mpunguze maneno maneno, maana kabla ya mechi mlikua mmeshaanza kumtuhumu kua atawabeba united.
Ndio point ya kubeba ubingwaUkitembea na hii attitude hupati ubingwa ng'o. Nadhani falsafa ya Mikel ni game-by-game. Shinda mechi ya kesho then jiandae na mechi inayofuata. Usiangalie matokeo ya mwenzako wewe fanya wajibu wako.
Mikel, na wachezaji wa Arsenal wakiulizwa maswala ya ubingwa, wanasema Wana focus game inayokujaHiki ndo kimewaponza man u, wakaweka focus gemu ya arsenal wakaishia kudrop points na palace
Huo ndio mtazamo sahihi, sio mtazamo wa baadhi ya mashabiki humu ni kuwa negative tu, mara sijui mwezi wa nne, mara wanaanza kuto mifano ya miaka iliyopita! Ndio maana nawaita washirikina.Mikel, na wachezaji wa Arsenal wakiulizwa maswala ya ubingwa, wanasema Wana focus game inayokuja
Upo sahihi
Nilisema humu ,Ni finisher mzuri,Tusiache kumpa sifa Eddie Nketiah View attachment 2492294 Anazidi kututunyamizisha his doubters. I wish our number 14 all the best mpaka mwisho wa msimu.
A message from Nketiah to all the fans “Stop feeling sorry for yourself and "f***ing wake up man."
Game by game ,ndio Kauli mbiu ya Mikel had wachezajiHuo ndio mtazamo sahihi, sio mtazamo wa baadhi ya mashabiki humu ni kuwa negative tu, mara sijui mwezi wa nne na mara wanaanza kuto mifano ya miaka iliyopita! Ndio maana nawaita washirikina.

Mikel, na wachezaji wa Arsenal wakiulizwa maswala ya ubingwa, wanasema Wana focus game inayokuja
Upo sahihi

Hizi ninaona ni blah blah tu, liverpool ilibeba epl na ucl ikiwa na kikosi kimoja.Kuna kitu watu mnajisahau mnapodai City haiwezi kuizuia Arsenal.
City alikua anaongozwa 2 dhidi ya timu inayopenda kupaki basi na ikayabinua matokeo mpaka kua 4 kwa 2. Imepunguza gape la points vizuri tu.
Ina wachezaji wako exposed kwenye hizi pressure for years. Ina options zaidi ya 1 kwa kila nafasi isipokua kipa (sisi tuna hii quality?).
Arsenal tupo FA (tutakutana nao huko), tupo Europa na tuna hii presha ya ligi. Tuna kikosi cha kutuwakilisha kote huko na tukapata same output? Jibu ni hapana.
Tulicheza na Brighton baada ya siku 3 tukacheza na Newcastle na unaona kabisa kwamba kikosi kina fatique. Its allowed to dream but we should not overstep tukasahau angalia vitu vya msingi
Sasa hivi kuna baadhi ya mashabiki wa Arsenal humu ndani mmeanza kua matured na kuanza kujielewa, tatizo kuna mashabiki wengi humu hua hawapendi kabisa kusikia jambo lolote negative kuhusu wachezaji, kocha na timu yote kwa ujumla.Kuna kitu watu mnajisahau mnapodai City haiwezi kuizuia Arsenal.