Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mykhailo Mudryk / Rafa Leao which is which? Wote moto mkali ila kuna watu wanaumia, alaumiwe Arteta kwa kuirudisha Arsenal

Rafa Leão:

“I watch many games. This year, I like Arsenal — they’re playing very well”. https://t.co/1a5Snatpnr
Huyu Leao moto wake mkali weweeeeeeee.....dah hiii ni mashine ya kazi namchagua huyu mbele ya hao wengine
 
Fabrizio Romano

Negotiations between Gabriel Martinelli and Arsenal on new long term deal are progressing to the final stages #AFC

It’s not done or fully agreed yet, also nothing signed - but it’s getting closer.

Martinelli, Saka and Saliba are #AFC priorities in terms of new contracts.
IMG_20221213_214638.jpg
 
Kama haujasoma somo linaloitwa Pure mathematics
Au kuna kitu kinaitwa architecture. Hiyo picha hapo juu achana nayo. Fatisha tu maelezo yangu

Awali ya yote kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mpira na hesabu
Mpira ni sayansi mpira ni Sanaa
Kwa maneno yenye uchache sana naweza kusema Arteta is genius. Ukibisha meza mawe

Arsenal tunacheza kitimu, arsenal inapita kwenye pattern
Usipofungwa na saka basi utafunga na martinel au utafungwa na Jesus au odegard mwenyewe atakumaliza
Na hao wote wasipokufunga, basi watasababisha wakufungue

Hapo ndio utagundua Jesus hawezi kutuyumbisha kwa kipindi hiki ambacho anauguza majeraha
Nketiah ready to take a chance, Fabio is there, Rowe is back, mudrych is loading

Maombi, sala zetu tuzielekeze kwa partey
Huyo hatakiwi ata kuchunika
Picha hapa chini inaonesha jinsi gani yeye alivyo kiunganisa almost na timu nzima
Elneny na lokonga hawawez kutupa kile partey anafanya
Man city midfielder ilipotezwa na huyu muhuni ule msimu uliopita

Juzi Liverpool, Chelsea, spurs wamekufa kama wamesimama baada ya huyu mwamba kuwa pale dimbani akizibiti usalama wa defenders
Na kufanya kazi ya ku-supply mipira iliyotukuka

Tumeangusha points kwa man u, coz lokongo is not ready for dirty work, not good enough to dominate the field

As things stand
Arsenal ndoo
Haaland kiatu

Aaron Arsenal Will Jr Jackwillpower Castr DullyJr @aligrain Chatta g Ulimakafu computerarsenal
hamis77
Ongeeni kitu kuhusu hii picha
As I see there are mora than millions triangles to unlock any kind of defense
images.jpg
 
As I see there are mora than millions triangles to unlock any kind of defenseView attachment 2458246
Hili ni picha la kutisha, si la kihindi.
 
Mwanaume malaya kila mwanamke alie vaaa nusu uchi atamsifia ndio arsenyeto kisa mnashinda Mateka ni coach mzuri ngoja muanze kupewa vipondo mtasema bado hajakomaaa ngoja akomae usijisahau kuwa arsenyeto ni pombe ya ngomani
 
Wagonga nyundo wa London leo tuna jambo letu tutaishia pale Brighton aliposhindilia misumari ya arsenyeto
Pacueta hat trick
Antonio man of the match
 
Thomas Partey ndiye Arsenal mwenyewe asipokuwepo biashara inaishia hapo na replacement yake ilikuwa muhimu at this moment, ikitokea kaumia tu hali itakuwa ya ovyo refer game vs Manchester United tuliyopigwa
 
Mwanaume malaya kila mwanamke alie vaaa nusu uchi atamsifia ndio arsenyeto kisa mnashinda Mateka ni coach mzuri ngoja muanze kupewa vipondo mtasema bado hajakomaaa ngoja akomae usijisahau kuwa arsenyeto ni pombe ya ngomani
Acha roho mbaya ,cheltako timu bovu

Unaumia kisa Arsenal inacheza vizuri na timu lako linacheza ovyo

Ndio maana nawakubali wazungu hawana unafiki

Ronaldo amejisemea kabisa Arsenal wanafurahisha kuwaangalia

Rafael Leao kasema muda mwingi anaiangalia Arsenal inavyocheza anafurahia

Wewe Roho mbaya ya Nini?
 
Thomas Partey ndiye Arsenal mwenyewe asipokuwepo biashara inaishia hapo na replacement yake ilikuwa muhimu at this moment, ikitokea kaumia tu hali itakuwa ya ovyo refer game vs Manchester United tuliyopigwa
A new central midfield player is also on the agenda for 2023 — but with Thomas Partey and Mohamed Elneny currently fit, there is less urgency in that area. It’s something more likely to be attended to in the summer.

(@gunnerblog )

Arsenal msimu uliopita analysis inaonesha kuumia kwa Tierney na Tomiyasu ,kulisababisha Cedric na Nuno tavares wawe uchochoro

Ndio maana Ni maeneo yaliyopewa kipaumbele kikubwa

Elneny sio Partey ila inaonesha amekuwa akitimiza majukumu yake vzr ,

Hata hiyo mechi na man u hakuwepo pamoja na Partey ,ndio sababu Lokonga alianza

Backup ya Partey ,Arsenal hawana haraka nayo Hadi summer 2023 sababu Elneny alishapona , Na 2023 ndipo atatafutwa mbadala wa muda mrefu

Kwasasa nguvu zote zimeelekezwa kwenye Attacking

Joao Felix

Mudrky

Wanatajwa Sana

LCB Ni kipaumbele pia ila 50/50 kuja January hii huenda ikawa summer 2023 pia
 
Hatimae ile siku tuliokua tunaisubiria kwa hamu tayari imeshawadia.
Leo kina Jarrod Bowen, Michail Antonio, Declan Rice, Kurt Zouma, Manuel Lanzini, Lucas Paqueta pamoja na mwamba mwenyewe Said Benrahma wamesema wana jambo lao palepale Emirates.

Arsenyani anaenda kuweka historia ya kwanza kwenye Premier League, timu iliyoongoza ligi kwa point 5 wakati wa Christmas halafu inaenda kukosekana kwenye top4 baada ya msimu kumalizika.

Sisi kama Wagonga nyundo wa London, leo kazi yetu ni moja tu kugongelea misumari ya utosi.
 
Kama haujasoma somo linaloitwa Pure mathematics
Au kuna kitu kinaitwa architecture. Hiyo picha hapo juu achana nayo. Fatisha tu maelezo yangu

Awali ya yote kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mpira na hesabu
Mpira ni sayansi mpira ni Sanaa
Kwa maneno yenye uchache sana naweza kusema Arteta is genius. Ukibisha meza mawe

Arsenal tunacheza kitimu, arsenal inapita kwenye pattern
Usipofungwa na saka basi utafunga na martinel au utafungwa na Jesus au odegard mwenyewe atakumaliza
Na hao wote wasipokufunga, basi watasababisha wakufungue

Hapo ndio utagundua Jesus hawezi kutuyumbisha kwa kipindi hiki ambacho anauguza majeraha
Nketiah ready to take a chance, Fabio is there, Rowe is back, mudrych is loading

Maombi, sala zetu tuzielekeze kwa partey
Huyo hatakiwi ata kuchunika
Picha hapa chini inaonesha jinsi gani yeye alivyo kiunganisa almost na timu nzima
Elneny na lokonga hawawez kutupa kile partey anafanya
Man city midfielder ilipotezwa na huyu muhuni ule msimu uliopita

Juzi Liverpool, Chelsea, spurs wamekufa kama wamesimama baada ya huyu mwamba kuwa pale dimbani akizibiti usalama wa defenders
Na kufanya kazi ya ku-supply mipira iliyotukuka

Tumeangusha points kwa man u, coz lokongo is not ready for dirty work, not good enough to dominate the field

As things stand
Arsenal ndoo
Haaland kiatu

Aaron Arsenal Will Jr Jackwillpower Castr DullyJr @aligrain Chatta g Ulimakafu computerarsenal
hamis77
Ongeeni kitu kuhusu hii picha
As I see there are mora than millions triangles to unlock any kind of defenseView attachment 2458246
Ndio maana nasemaga Partey anahitaji kuwa secured with his pass selection etc cuz yupo connected na kila angle in our system, inshort ni controller wa timu with/ without the ball.

Picha inaonesha kwanini Pep, Arteta wanapenda kutumia DM wenye quality zote def & attack i.e Partey & Rodrigo, wanawaita Holding midfielders, wapo flexible sn kwenye 433 tofauti na Traditional DMs i.e Kante & Makelele. Uzuri wa lone pivot ni kwamba unapata an extra man Ku overload maeneo mengine zaidi, I personally think Double pivot is for losers.

Kante doesn't suit 433 system, ikiwa mpinzani anablock centrally km hapo kwenye picha ni ngumu kwa Kante / Makelele kuturn out as they lack technical security.
 
Back
Top Bottom