punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Wakuu, ati ni kweli kuna bundi kaonekana hapa? Kwa nini msimle kabisa ili aache kuwasumbua? Au fanyeni hivi, mkamateni mwende naye White Hart Lane halafu mmuache huko huko!!
Asa ndugu zangu, kati yenu, AW, mbu, Wacha1, Michelle au hata BBK atakayewai aniwekee siti ya mbele kabisa....leo siwaachi nyie.
Mungu ijaalie Arsenal, Mungu ijaalie Furaha yangu.... leo sidhani kama kuna neno lingine zaidi ya Ushindi.......
Tutashinda nina imani....pamoja sana!!!
dada michelle usiwaogope,tupo pamoja na tutapambana nao mpk mwisho,wala usijali wanazi wa the gunners tupo naleo tunashinda bao 2-1.jamani Manda anachungulia nini saa hizi??? mechi zao anachelewa hadi wafunge huku kwetu anawahi kama nini......!!!
Asa ndugu zangu, kati yenu, AW, mbu, Wacha1, Michelle au hata BBK atakayewai aniwekee siti ya mbele kabisa....leo siwaachi nyie.
jamani Manda anachungulia nini saa hizi??? mechi zao anachelewa hadi wafunge huku kwetu anawahi kama nini......!!!
dada michelle usiwaogope,tupo pamoja na tutapambana nao mpk mwisho,wala usijali wanazi wa the gunners tupo naleo tunashinda bao 2-1.
dada michelle usiwaogope,tupo pamoja na tutapambana nao mpk mwisho,wala usijali wanazi wa the gunners tupo naleo tunashinda bao 2-1.
Watu diaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaby watu diaaaaaaaaaaaaaaaaaaby *14366778Tupo pamoja guys lakini nawaomba muwepo hapa mpaka mwisho wa game......na tutasaidiana kushangilia timu haha....leo lazima mutandikwe tu.....
sasa utashangilia nini kama tutatandikwa? watu wengine bwana,mbona ile siku mnacheza na Chelsea tuliwashangilia?:hat:Tupo pamoja guys lakini nawaomba muwepo hapa mpaka mwisho wa game......na tutasaidiana kushangilia timu haha....leo lazima mutandikwe tu.....
umeme umekatika naenda kulala mimi....l.o.l:alien::nerd:Nitakusaidia kushangangilia leo ila usiingie tu mitini nipe kampani mpaka dakika ya 90 hahaha lazima mtandikwe leo....
ni ngumusana kupata goli nyingi kwa totenham hawa jamaa ni wapinzani wetu wajadi nahua wanatubania sana,tuombe mungu tupate tu point 3,kwagoli nyingi itakua ngumu.Goal difference counts mazee!!! Yes we need to win.....by Hooks and crooks.... But we need a BIG WIN..... Nobody knows what will happen 2mrw!!!!!