punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Da! Poleni san.. no kumbe hamjafiwa mmekufa nyie!! Hivi wafu wanapewa pole?? Hivohivo bana, poleni sana. Msijali lakini si mnalo lile kombe lenu la Emirates? poa
Wala hujakosea mkuu mie namtupa mpaka namba 5 nampa 4 SONG.
Now you are talking......Kumbe wewe ni Moro United(Manure)....
Ndo maana kelele miiiingi.....Suarez+Kuyt jibu lake ni nini?
Da! Poleni san.. no kumbe hamjafiwa mmekufa nyie!! Hivi wafu wanapewa pole?? Hivohivo bana, poleni sana. Msijali lakini si mnalo lile kombe lenu la Emirates? poa
Mkuu Wacha1 umetubania sana leo hujatuwekea kabisa ma pics mpaka Moderator Ab ndio anaweka......
Fabregas naona alicheka Messi alipofunga penati. Aombe mungu pundits wawe hawajainasa hile .
Wacha1 pichaz pls..imeshakuwa historia hii japo inauma au siyo??!!..
Asubuhi njema jamani..mkalale siyo kuota mechi hii...
Naona wenye nyumba leo wameenda kulala wamesusa kutupa kampani wageni.....jamani uchoyo huo na wala sio vizuri ilibidi mtupe kampani wageni mpaka tujisikie kuondoka......hahha
he!? ashakum si matusi,...wewe ni nani?
... ....
Great support from the arsenal fans. I take full blame for the result tonight. One of the worst moments of my life. I apologise.
Cesc ameomba msamaha kwenye tweeter ... ...
Anyway mradi anafahamu makosa yake asirudie .... .... Natumaini na sisi Wapenzi wa Arsenal tutamwacha kwa hili ... ... ... inabidi ajirekebishe.
Haya wakuu wamebebwa kama vile mategemeo ya wanoko wote khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee thas the only way Arsenal can lose 10 against 11 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hizi stats nyingine za ajabu sana 'Stats are staggering
in Barca vs Arsenal: passes 717-195; shots 19-0'
and i have to rub this in, wiki tatu zilizopita mlikuwa mnazungumzia quadruple, then treble.....
Kushindwa kwetu kwa kiasi kikubwa kumechangiwa sana na huyu referee mnoko. Maamuzi yake yalikuwa yameegemea zaidi kutuadhibu sisi na pia VP hakustahili kupewa card nyekundu...pia AW kama ulikuwa ni uamuzi wake wa kucheza defensive game, basi kwa maoni yangu uamuzi huo ulikuwa ni makosa maana jamaa walijenga kibanda golini kwetu na kufanya mashambulizi ya ziada, na timu yoyote ile ikishambuliwa kwa muda mrefu basi ni lazima kutakuwa na makosa ambayo yataleta athari.
Haya yaishe banaaa!!!....
![]()
ha ha ha peasant ni ajabu mpaka sasa hivi hajatokea, sijui alienda kuangalia mpira pub akawauzi washabiki wa arsenal huko lol.i hope yuko salama.
Rev Masanilo yule nae kawa kama Rev Mtikila, kila siku jela lol.