Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Acha uzushi bana.....Wenye nyumba mbona tupo wa kumwaga humu ndani..........Hatuna kawaida a kukimbia sisi kama majirani na watani zetu(except Peasant).......Tupo mpaka usubuhi hapa,we ebdelea tu na kujaza bandwith........

Arsenal; Together we Stand

Aminia mkuu....Jumamosi tunacheza na nyinyi nadhani tutaongea sawa kabisa na tutafurahi sawa mkuu, take it easy bro kuna siku ya kufurahi na kutokufurahi.....
 
Pole mkuu sasa tukitoa makosa ya refa vipi mpira unaonaje maana naona mbele umeme ulikua umekatika kabisa.Dah hiyo FA itakua balaa maana sisi tumelose mechi mbili mfululizo na nyie mmeshindwa cups mbili mfululizo,kaazi kwelikweli

...acha tu kwanza, hebu tuacheni japo tunywe maji bana nyie vipi? LOL...
 
Pamoja mkuu wangu...Sijajua u timu gani Barca,Moro Utd(Man Utd),Chelsick,Liver Manciteh,Spurs ama Stoke City ndo maana nasema u hapa SEF maana asilimia kubwa nawajua na timu zao.....wako wazi

Mkuu mimi na support Man U, juzi tulivyofungwa wapenzi wa Arsenal walijaa kule duuu na kuponda ile mbaya nikasema lazima leo nije niwatembelee huku.....
 
...alaaa kumbeeeeeee?! ha ha ha, so nice to know this!
Siku zote ulikuwa umejificha wapi bana, jukwaa mpaka Shedafa linaanza kumshinda sasa...
Stand up and be counted bana!

Haya, kesho tutakuja jumuika nanyi kwenye kiporo chenu na AC MILAN, Rosssoneri wa Abdulhalim na Gang Chomba.
hahah mkuu uchune tu. yaani kama si BJ kuulizia nilipenda nikuwe undercover tu, kuna njemba zina hasira balaa hapa. kesho mida ya game sipatikani, game za spurs zote napotea kabisa kitaa nazama pub
 
Acha uzushi bana.....Wenye nyumba mbona tupo wa kumwaga humu ndani..........Hatuna kawaida a kukimbia sisi kama majirani na watani zetu(except Peasant).......Tupo mpaka usubuhi hapa,we ebdelea tu na kujaza bandwith........

There are currently 57 users browsing this thread. (27 members and 30 guests)
Balantanda Navoyne G.shayo Papizo LoyalTzCitizen Arsene Wenger Eqlypz Mwera Manda+ NGUZO mfarisayo The Invincible Shakazulu punainen-red Next Level+ Consultant Questt Bonge Watu Katavi nassdadon El Toro

Arsenal; Together we Stand

...namimi nimo! TOGETHER WE STAND mpaka kieleweke hata kama itatuchukua miaka mingine mitano, in Arsene Wenger We Trust!...
 
hahah mkuu uchune tu. yaani kama si BJ kuulizia nilipenda nikuwe undercover tu, kuna njemba zina hasira balaa hapa. kesho mida ya game sipatikani, game za spurs zote napotea kabisa kitaa nazama pub

Abdulhalim alikuwa hivyo hivyo , watu wakampabana akaamua akimbilie ligi ya italy lol.
 
Aminia mkuu....Jumamosi tunacheza na nyinyi nadhani tutaongea sawa kabisa na tutafurahi sawa mkuu, take it easy bro kuna siku ya kufurahi na kutokufurahi.....

Now you are talking......Kumbe wewe ni Moro United(Manure)....

Ndo maana kelele miiiingi.....Suarez+Kuyt jibu lake ni nini?
 
hahah mkuu uchune tu. yaani kama si BJ kuulizia nilipenda nikuwe undercover tu, kuna njemba zina hasira balaa hapa. kesho mida ya game sipatikani, game za spurs zote napotea kabisa kitaa nazama pub

...HA HA HA! typical Klorokwini! haya bana,....kwenye salamu za wafiwa tutakuwa tunakuandika wa mwisho mwisho!
 
...namimi nimo! TOGETHER WE STAND mpaka kieleweke hata kama itatuchukua miaka mingine mitano, in Arsene Wenger We Trust!...

Usiwe na wasi wasi mkuu, haitafika miaka mitano mingine. mwaka huu kombe linatua emirates.
 
...acha tu kwanza, hebu tuacheni japo tunywe maji bana nyie vipi? LOL...

hahaha hapa bado wale waungwana wa chelsea hawajaja bado lol....hapo the 12th mtakuja kama mbogo aliyejeruhiwa
 
Wojciech Szczesny fears his season could be over after suffering a finger injury against Barcelona in the UEFA Champions League.

Dua zenu wakuu wa gunners zinahitajika kwa kipa wetu.
 
hahaha hapa bado wale waungwana wa chelsea hawajaja bado lol....hapo the 12th mtakuja kama mbogo aliyejeruhiwa
ha ha ha peasant ni ajabu mpaka sasa hivi hajatokea, sijui alienda kuangalia mpira pub akawauzi washabiki wa arsenal huko lol.i hope yuko salama.

Rev Masanilo yule nae kawa kama Rev Mtikila, kila siku jela lol.
 
mnh, sidhani...naona kama tayari keshajinunulia ticket ya summer kwenda Barca!

Atambae zake bana.......Mwaka huu naona kachemka tu.....Kwenye orodha ya ubora awez kuwa wa nne 1.Samir Nasri--2.Robin Van Persie--3.Jack Wilishire--4.Cesc Fabregas............Huu ni mtizamo wangu tu

Atambae zake bana,tena Ramsey kapona,ataziba nafasi yake akiondoka
 
Itabidi uwe mpole wiki yote kama wacha1 hadi utokee msiba mwingine...............ahahahhh

...nani? sisi Arsenal tuwe wapole? unacheza wewe... ukuti.jpg ...hapa ni ukuti ukuti mpaka kieleweke!
 
Wojciech Szczesny fears his season could be over after suffering a finger injury against Barcelona in the UEFA Champions League.

Dua zenu wakuu wa gunners zinahitajika kwa kipa wetu.

...worry you not bro,...Almunia did us good today...
nafasi yake tena kumalizia msimu, Vito Mannone itabidi arudi from loan...
Hatuna tena Cover ya Goal keeper.
 
Atambae zake bana.......Mwaka huu naona kachemka tu.....Kwenye orodha ya ubora awez kuwa wa nne 1.Samir Nasri--2.Robin Van Persie--3.Jack Wilishire--4.Cesc Fabregas............Huu ni mtizamo wangu tu

Atambae zake bana,tena Ramsey kapona,ataziba nafasi yake akiondoka
Wala hujakosea mkuu mie namtupa mpaka namba 5 nampa 4 SONG.
 
Back
Top Bottom