Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
namwakilisha mwanangu tafadhali!
wewe ni wa nyumbani....karibu kwenye kikao!!
namwakilisha mwanangu tafadhali!
nothing but love bro... cheko lako tuHaya wakuu wamebebwa kama vile mategemeo ya wanoko wote khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee thas the only way Arsenal can lose 10 against 11 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Always Mkuu..VIVA ARSENAL VIVA! We'll try again next year to win this UEFA Cup
Always Mkuu..VIVA ARSENAL VIVA! We'll try again next year to win this UEFA Cup
Ngosha... big up, they say we dont dont bow down... language of heroesWell....Tumetolewa,all I can say is pamoja na kuzidiwa mchezo lakini refa kaharibu mchezo kwa kumpa RVP red kwa kosa la kupiga mpira a second after the whistle,kutoka kwa RVP kumetumaliza maana tushaanza kurudi kwenye msitari....This was unafair kabisa.....Na tatizo lingine ambalo daima naliongea ni AW kupenda kujitakia kufungwa kwa kuendelea kumbeba Abou Diaby mchezaji ambaye daima yu legelege badala ya kumuanzisha Denilson..........Na Almunia auzwe haraka sana
Otherwise hongereni sana 'mashabiki' wote wa Barca akina Manda,Papizo et al.......Na pia shukrani kwa Eqlypz na MTM kwa kuwa pamoja nasi na kututia moyo katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.....Tumekufa kiume though
Poleni sana the gunners wenzangu akina Mbu,AW,Baba Mkubwa,my Michelle,Quest,Richard,Ng'wanza Madaso,Next Level,Consultant na wengine wote....Tujipange kwa msimu ujao wa UEFA.....
Mbarikiwe sana
Hongera sana kwa timu yangu nzuri ya ARSENAL.....aluta continua....bado mapenzi yetu yako pale pale.....!!!:rain:
wageni huu ndo wakati wa kuondoka,tuna kikao cha familia.....!!!
Duuu mkuu hujakata tamaa tu bado???POLE SANA MKUU
Good spirit BAK!..sasa mnahitaji kombe home jamani lol!!..
Pole mkuu sasa haya maturubai inakuwaje.............komaeni na FA na EPL.Haya wakuu wamebebwa kama vile mategemeo ya wanoko wote khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee thas the only way Arsenal can lose 10 against 11 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Michelle pole sana ila usinikasirikie naomba tikikutana kwenye majukwaa mengine tusichuniane hahaha,raha sana leo........