Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

by the way huyo refa si ndio alimtoa fletcher kwenye semi ya uefa dhidi ya arsenal?

Na walichekelea sana kwa kutolewa na wakapewa penalt leo amekua mbaya kwao, mkuki kwa ngurue..........

Bye jamani tunashukuru kwa ukarimu wenu wa kutupokea maturubai ya msiba vizuri.
 
mimi nina DNA ya white hart lane bana, spurs forever. hawa jamaa ni wagomvi wangu wa jadi.
barca ni chama langu la whole europe so leo fulu mafuraha. yaani kwa mara ya kwanza leo wallet langu waifu atalifanya anavyotaka

ooh Spurs for life siyo!..basi leo umepata la kuwaambia gunners, inauma ila ndio imeshatoka hiyoo!!
Barca nawafeel pia ila Maure damu(japo presha haziishagi hapa)..hiyo wallet mpe waif ukiwa inaita siyo umejaza bizness kadi mpaka imetuna ha ha...
 
Sorry mkuu mwaka jana hivi ilikuwa ngapi???hahaha tuseme tu Barca hamuwawezi mkuuu hao ni kiboko wa world
hawana lolote mpaka wabebwe kwa mbeleko ya chuma ndio wawatoe the guners,watakutana robo na chelsea lazma wang'oke kenge hawa.
 
Naona wenye nyumba leo wameenda kulala wamesusa kutupa kampani wageni.....jamani uchoyo huo na wala sio vizuri ilibidi mtupe kampani wageni mpaka tujisikie kuondoka......hahha
 
ha ha ha. wallet liko full. hiyo manu bora ungependelea yanga tu. usitafute marazi ya kisukari , babu wa loliondo wenyewe siku sita ndio unafika.

usisahau kuangalia soka kesho.
 
hawana lolote mpaka wabebwe kwa mbeleko ya chuma ndio wawatoe the guners,watakutana robo na chelsea lazma wang'oke kenge hawa.

Duuuu pole sana mkuu....sasa ina maana na mwaka jana walibebwa au sio????na mwaka huu tena wamebebwa???ila inawezekana ni kweli....ila hiyo siku nitakuwa nashabikia chelsea hahaha
 
Watani
Poleni sana. Usiku huu mna hasira sana. Nitaongea kesho.
Alamsiki.

BTW naomba muwasiliane na mfarisayo kwa ajili ya kuchukua Maturubai ya matanga, pamoja na viti, mbaki navyo, as jumamosi mtahitaji tena.:hand:
 
Things get heated at the Camp Nou

_51587138_fracas766.jpg

Naona wenye nyumba leo wameenda kulala wamesusa kutupa kampani wageni.....jamani uchoyo huo na wala sio vizuri ilibidi mtupe kampani wageni mpaka tujisikie kuondoka......hahha
heheh mkuu wengine wameondoka bila kuaga, halaf kesho watasema tanesco ndio imesababisha wasiwahi kuaga. dah!
 
Nyie akina BJ na Klorokwini acheni kunivunja mbavu hahahahahahaha LOL!
 
Mkuu Wacha1 umetubania sana leo hujatuwekea kabisa ma pics mpaka Moderator Ab ndio anaweka......
 
Watani
Poleni sana. Usiku huu mna hasira sana. Nitaongea kesho.
Alamsiki.

BTW naomba muwasiliane na mfarisayo kwa ajili ya kuchukua Maturubai ya matanga, pamoja na viti, mbaki navyo, as jumamosi mtahitaji tena.:hand:

ha ha ha , maurubai yaache huko huko mtayahitaji jumamosi. sie tutaleta maiti yetu leo huko kuepukana na usumbufu wa kuhamisha hamisha maturubai wakati mtayaitaji tena jumamosi lol.
 
Sorry mkuu mwaka jana hivi ilikuwa ngapi???hahaha tuseme tu Barca hamuwawezi mkuuu hao ni kiboko wa world

Kwanza sijui wewe ni timu gani maana naona kama u mgeni hapa SEF(sorry kama nimekukwaza)....Mwaka jana aggregate ilikuwa 6-3...

Barca leo naona kama tungewaweza kama RVP asingepewa kadi,nina uhakika na hilo.....Kiujumla Barca hawatishi kivile na nina uhakika wataishia QF,hawataenda popote.............Leo refa kawabeba kubali kataa
 
People who always get the likes of Marseille or Copenhagen have no right to comment here
 
Duuu mkuu pole pole hiyo kesho kutwa jumamosi lazima tuwatandike nyingine 2 mwaka huu mtatoka kila mahali.......

Si umeona chama imekamilika leo? Tutapeleka msiba mwingine kule kwenu..Bundi bado katua maeneo yenu hivyo misiba itaendelea tu.
 
Back
Top Bottom