Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani michelle pooole, mtusamehe akiua nia yetu ila ni bahati mbaya tu lets meet on saturday

Kabisa mkuu watusamehe maana ndio mpira huu hahaha sio mchezo leo lazima nilalie mbege....na ulanzi.....
 
Yaani hivi karibuni marefa wamekuwa ni tatizo kubwa saaaaana kuanzia EPL na sasa wamekuja na kwenye UEFA????
 
Wakuu napenda sana kuwapa pole na tusichukiane jamani ndio mpira huu na ni hali ya kawaida.....sisi juzi tulikandamizwa 3 na watu walitucheka sana ila tukasema lazima leo tuje tuwape kampani humu ndani.....poleni sana na tutaonana tena mwakani .....hahahaha
hehehe mkuu watu wana hasira leo, kama wangekuwa mod, wageni wote wa hii sredi tungekula ban. hapa leo furaha yangu lazima nimpeleke waifu shopping usiku huu huu. lakini lazima tuwape pole pia jamaa.
 
Hizi stats nyingine za ajabu sana 'Stats are staggering
in Barca vs Arsenal: passes 717-195; shots 19-0'

Si shangai mkuu kwa mpira wa leo. nashukuru hawajaweka dakika zilitumika kucheza mpira kwenye nusu yetu ya uwanja.

Its all good.
 
Mkuu Gunners huwa hatukati tamaa mpaka kieleweke... we just need to add 2 or 3 good players in order to rule the World.

Pole mkuu lakini kwa nini sasa mlimtoa gallas???maana yule jamaa pamoja anaongea lakini ni chombo.....
 
Dada michelle kalale ukiwa kifua mbele vijana wa wenger wameshinda kimchezo wahalali lakini kwakua refa ni mshabiki wa barca na ana kadi ya barca,pale goli 1 tu la mwisho ndio lahalali,pia rvp kampa red ambayo alikua ktk move asingeweza kusimama gafla kwa speed aliyokua nayo.wataishia robo wanakutana na chelsea lazma watoke lakin kwakubebwa wamezidi.
 
hehehe mkuu watu wana hasira leo, kama wangekuwa mod, wageni wote wa hii sredi tungekula ban. hapa leo furaha yangu lazima nimpeleke waifu shopping usiku huu huu. lakini lazima tuwape pole pia jamaa.

Klorokwini halafu wewe uko timu gani?..Chelski? au!!
Yani una furaha kiasi hicho hadi late night shopping!!..haya bwana, huruma sana kwa Arsenal..nawapa pole pia!!
 
Pole mkuu lakini kwa nini sasa mlimtoa gallas???maana yule jamaa pamoja anaongea lakini ni chombo.....

Ah Gallas naye wa kumuongelea kweli? Mpaka leo ni chui na paka na Nasri
 
Arsenal itabaki kuwa Arsenal na tutabaki kuwa The Gunners,ya leo ni ajali tu(4-3 agg si haba)......Cha msingi tujipange tu for EPL pamoja na kundeleza kilio Morogoro kwa Moro Utd hiyo jumamosi........

Sisi ndio Arsenal bana.................Together we stand

Sorry mkuu mwaka jana hivi ilikuwa ngapi???hahaha tuseme tu Barca hamuwawezi mkuuu hao ni kiboko wa world
 
and i have to rub this in, wiki tatu zilizopita mlikuwa mnazungumzia quadruple, then treble....ila barca kwa mpira wao wataishia 1/4 wamejitahidi sana semi.

Usiku mwema watani.
 
hehehe mkuu watu wana hasira leo, kama wangekuwa mod, wageni wote wa hii sredi tungekula ban. hapa leo furaha yangu lazima nimpeleke waifu shopping usiku huu huu. lakini lazima tuwape pole pia jamaa.

Hahahaha kabisa yaani mkuu naona mod wamelala leo....ila hamna shaka mimi mwenyewe na raha sana leo...lazima nilalie mbege na ulanzi mkuuu maana raha niliyokuwa nayo haina mfano....duuu hawa jamaa wanaongea sana ndio maana.....
 
Klorokwini halafu wewe uko timu gani?..Chelski? au!!
Yani una furaha kiasi hicho hadi late night shopping!!..haya bwana, huruma sana kwa Arsenal..nawapa pole pia!!
mimi nina DNA ya white hart lane bana, spurs forever. hawa jamaa ni wagomvi wangu wa jadi.
barca ni chama langu la whole europe so leo fulu mafuraha. yaani kwa mara ya kwanza leo wallet langu waifu atalifanya anavyotaka
 
naangalia superspot hapa na wamemjadili huyu refer kumbe ni awaida yake kutoa reds za ajabu... wamemtrace like ten years ago na nyingine maarufu ni ya kunhe world cup 2010

Kushindwa kwetu kwa kiasi kikubwa kumechangiwa sana na huyu referee mnoko. Maamuzi yake yalikuwa yameegemea zaidi kutuadhibu sisi na pia VP hakustahili kupewa card nyekundu...pia AW kama ulikuwa ni uamuzi wake wa kucheza defensive game, basi kwa maoni yangu uamuzi huo ulikuwa ni makosa maana jamaa walijenga kibanda golini kwetu na kufanya mashambulizi ya ziada, na timu yoyote ile ikishambuliwa kwa muda mrefu basi ni lazima kutakuwa na makosa ambayo yataleta athari.

by the way huyo refa si ndio alimtoa fletcher kwenye semi ya uefa dhidi ya arsenal?
 
Wacha1 pichaz pls..imeshakuwa historia hii japo inauma au siyo??!!..
Asubuhi njema jamani..mkalale siyo kuota mechi hii...
 
Fabregas naona alicheka Messi alipofunga penati. Aombe mungu pundits wawe hawajainasa hile .
Pole mkuu maana barca wamenifurahisha sana 3-1 kama yaliyotokea anfield kipimo kilekile.Haya tusubiri hiyo FA itakua vipi.
 
Ah Gallas naye wa kumuongelea kweli? Mpaka leo ni chui na paka na Nasri

Hawaelewani lakini jamaa alikuwa serious uwanjani haongei na mtoto, ila nadhani watajipanga tu mwakani.....
 
Back
Top Bottom