Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

heheh mkuu wengine wameondoka bila kuaga, halaf kesho watasema tanesco ndio imesababisha wasiwahi kuaga. dah!

Mkuu ndio hivyo kesho kigezo kitakuwa ni umeme wakati walikuwepo hapa toka mwanzo ila sijui hata wamekimbilia wapi.....maana wanashindwa kutupa kampani sisi wageni tuliokuja humu leo......
 
Disaster strikes!!!...Robin van Persie is sent off

_51587331_persie766.jpg

asante mkuu, FA ndio sehemu ya ku-bounce back hapo na nategemea Wenger kwenda full squad.
Aaah ngoja tuone si unajua babu yenu na maamuzi yake ya ajabu.............leo tactics zake zimegonga mwamba mngeenda ku attack NOU CAMP tulikua tunaongea habari nyingi hapa.
 
Wacha1 pichaz pls..imeshakuwa historia hii japo inauma au siyo??!!..
Asubuhi njema jamani..mkalale siyo kuota mechi hii...

Alafu leo kijana wako (walcott) si unajua hajakuwepo kuwakimbiza jamaa? Pengo lake limetufanya tusiwe na counter attack hata moja lol.
 
hehehe mkuu watu wana hasira leo, kama wangekuwa mod, wageni wote wa hii sredi tungekula ban. hapa leo furaha yangu lazima nimpeleke waifu shopping usiku huu huu. lakini lazima tuwape pole pia jamaa.

...huyu Klorokwini:spider:huyu!

Arsenal itabaki kuwa Arsenal na tutabaki kuwa The Gunners,ya leo ni ajali tu(4-3 agg si haba)......Cha msingi tujipange tu for EPL pamoja na kundeleza kilio Morogoro kwa Moro Utd hiyo jumamosi........

Sisi ndio Arsenal bana.................Together we stand

Nice one, ...together as one, together we stand!

barcelona siku zote wanabebwa wakicheza na timu za england...mnakumbuka few seasons ago walipocheza na chelsea?

Anyway poleni watani, ndio ukubwa huo.

...agree, agree...Chelsea, Man U au Spurs mkipita, tayarisheni nepi zenu!

Mbu jumanne imefika na imeisha kama ifuatavyo!!..uefa bai bai!!!

...mnh, haya bana...nimekusikia 🙁
 
Aaah ngoja tuone si unajua babu yenu na maamuzi yake ya ajabu.............leo tactics zake zimegonga mwamba mngeenda ku attack NOU CAMP tulikua tunaongea habari nyingi hapa.

We acha tu mkuu, Arshavin alitakiwa aanze yule au kumleta mapema. Ka-Diaby anajaribu kukabeba lakini wala hakibebeki.
 
Kwanza sijui wewe ni timu gani maana naona kama u mgeni hapa SEF(sorry kama nimekukwaza)....Mwaka jana aggregate ilikuwa 6-3...

Barca leo naona kama tungewaweza kama RVP asingepewa kadi,nina uhakika na hilo.....Kiujumla Barca hawatishi kivile na nina uhakika wataishia QF,hawataenda popote.............Leo refa kawabeba kubali kataa

Hahaha mkuu mimi wala sio mgeni humu na wala siwezi kukwazika kabisa....ndio maana nikauliza mwaka jana mlifungwa kwa ngapi....je mngeshinda na jamaa asingepewa red card ingekuwaje???ila powa fair play mkuu na tupo pamoja na pole sana..........
 
Sorry BAK! huyu Ref huwa namuogopa sana! ana maamuzi ya kutisha! arghh! poleni sana! by the way tonight i was supporting gunners! mmh!!
 
Si umeona chama imekamilika leo? Tutapeleka msiba mwingine kule kwenu..Bundi bado katua maeneo yenu hivyo misiba itaendelea tu.

Hamna shaka kabisa mkuu tupo pamoja na naamini wewe ni kamanda na unaipenda sana timu yako ila naona jamaa wengine wanaongea kwa jazba sana.....mkuu jumamosi tutacheck nani atashinda.....
 
Naona wenye nyumba leo wameenda kulala wamesusa kutupa kampani wageni.....jamani uchoyo huo na wala sio vizuri ilibidi mtupe kampani wageni mpaka tujisikie kuondoka......hahha

Acha uzushi bana.....Wenye nyumba mbona tupo wa kumwaga humu ndani..........Hatuna kawaida a kukimbia sisi kama majirani na watani zetu(except Peasant).......Tupo mpaka usubuhi hapa,we ebdelea tu na kujaza bandwith........

There are currently 57 users browsing this thread. (27 members and 30 guests)
Balantanda Navoyne G.shayo Papizo LoyalTzCitizen Arsene Wenger Eqlypz Mwera Manda+ NGUZO mfarisayo The Invincible Shakazulu punainen-red Next Level+ Consultant Questt Bonge Watu Katavi nassdadon El Toro

Arsenal; Together we Stand
 
mimi nina DNA ya white hart lane bana, spurs forever. hawa jamaa ni wagomvi wangu wa jadi.
barca ni chama langu la whole europe so leo fulu mafuraha. yaani kwa mara ya kwanza leo wallet langu waifu atalifanya anavyotaka

...alaaa kumbeeeeeee?! ha ha ha, so nice to know this!
Siku zote ulikuwa umejificha wapi bana, jukwaa mpaka Shedafa linaanza kumshinda sasa...
Stand up and be counted bana!

Haya, kesho tutakuja jumuika nanyi kwenye kiporo chenu na AC MILAN, Rosssoneri wa Abdulhalim na Gang Chomba.
 
Hahaha mkuu mimi wala sio mgeni humu na wala siwezi kukwazika kabisa....ndio maana nikauliza mwaka jana mlifungwa kwa ngapi....je mngeshinda na jamaa asingepewa red card ingekuwaje???ila powa fair play mkuu na tupo pamoja na pole sana..........

Pamoja mkuu wangu...Sijajua u timu gani Barca,Moro Utd(Man Utd),Chelsick,Liver Manciteh,Spurs ama Stoke City ndo maana nasema u hapa SEF maana asilimia kubwa nawajua na timu zao.....wako wazi
 
...alaaa kumbeeeeeee?! ha ha ha, so nice to know this!
Siku zote ulikuwa umejificha wapi bana, jukwaa mpaka Shedafa linaanza kumshinda sasa...
Stand up and be counted bana!

Haya, kesho tutakuja jumuika nanyi kwenye kiporo chenu na AC MILAN, Rosssoneri wa Abdulhalim na Gang Chomba.

Achana nao hao wazushi tu
 
Pole mkuu sasa tukitoa makosa ya refa vipi mpira unaonaje maana naona mbele umeme ulikua umekatika kabisa.Dah hiyo FA itakua balaa maana sisi tumelose mechi mbili mfululizo na nyie mmeshindwa cups mbili mfululizo,kaazi kwelikweli

Back
Top Bottom