Mzee wangu alisema nikibadi ninaweza punguza hiyo span ya miaka 3. Vipi umejaribu huu mtindo?ukipata heka 10 umaskini unaangana nao baada ya miaka 3. meaning miche 1000
Mzee wangu alisema nikibadi ninaweza punguza hiyo span ya miaka 3. Vipi umejaribu huu mtindo?ukipata heka 10 umaskini unaangana nao baada ya miaka 3. meaning miche 1000
"It took klopp four years to get Liverpool where they are today, Arteta has just 323 days as a head coach"- IAN WRIGHT 24/OctoberSasa hivi mechi za Arsenal inabidi uangalie nyumbani pekee yako. Honestly I don't believe Arteta has anything left to change the team, he has already exhausted his tactics still we are where we are, certainly dropping further in days to come. No creativity, no discipline, no confidence. Bado Arteta ana sababu ya kuendelea kuwapo?


Suala la wachezaji kuhama hata wakiwa na umri mkubwa me sijapinga popote ila issue ya mchezaji kuhama club inaanzia kwa club kumtaka si kwamba anajiamulia nataka kucheza club fulani, kwa hiyo hadi club/kocha husika anamtaka ni obvious anakuwa na mipango naye kutokana na attributes alizo nazo.Mkuu hapa unatudanganya sasa.. Timu zinabadili mifumo ya kiuchezaji kila kukicha na zinatumia wachezaji wale wale, timu zinabadili makocha na kila kocha anakuja na tactics na mfumo wake na wachezaji ni wale wale


wachezaji wanahama kila kukicha tena wakiwa na umri mkubwa tu na timu wanazoenda zina mifumo na tactics tofauti... Kwani huyu ozil yeye ni jiwe?? Wewe sema kakutana na wachezaji hawajielewe.
Tatizo sio Ozil, tatizo ni timu/aina ya wachezaji anaocheza nao. Kazoea kucheza na players wenye viwango vya maana.
Hongereni sana kwa kubaki nafasi ya 15Goaaaaaalll Sheffield United 1
Yaani leo hii mnaombea Sheffield United afunge ndio mpumueGoaaaaaalll Sheffield United 1

















!Uwezo wetu wa sasa, sababu ya kocha na motherfucker uongozi umesababisha tufike huku kwenye relegation zone!Yaani leo hii mnaombea Sheffield United afunge ndio mpumue
Aisee
Kweli dunia duara![]()
Hiyo miaka 3 ni grafted otherwise it takes much longer period. Nakushauri kama ni mwenyeji wa huku changamkia hiyo fursa, usije sema ningejua. Nipo shambani jioni ndio nakuja kwenye hiki kijiwe chetu cha Gunners.Mzee wangu alisema nikibadi ninaweza punguza hiyo span ya miaka 3. Vipi umejaribu huu mtindo?
Alikuwa Madrid yenye wachezaji wenye viwango vya maana kama Alonso, Khedira, Di Maria, Bale, Benzema etc na bado akaambiwa hahitajiki. Yaani kwa kifupi ye ndiyo anategemea 'mbeleko' ya wenzie.
Kama unaelewa maana ya quotation ('...') usinge kurupuka, afu ungefatilia niliyekuwa najibizana naye tumeanzia wapi, kimsingi nimejibu according to his own 'folly'.Ehee...jomba punguza chuki hata kidogo basi mwisho wake utaonekana tahira sasa.
Alikuwa anategemea mbeleko za akina Nani??
Angekuwa anategemea mbeleko za wengine angekuwa first-choice ya Morinho mbele ya Ricardo Kaka?
Kwanza unajua alichokisema Cristiano baada ya Ozil kuondoka real Madrid???
Hebu elezea hizo mbeleko zilikuwaje.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Hii ni app gani
Really?Not only a fvcking liar but an Hypocrite bitch.