Unaposema kiwango unamaanisha nini hasa? Kama unamaaisha talent nisome hapo nimekiri "Ozil has got very great talent" ila ni "very poor tactically", nikimaanisha hazingatii ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya kile anachotakiwa kufanya anapocheza uwanjani.Leo Ozil kawa hana kiwango daah kweli dunia inaenda kasi!! Haya hao wenye viwango wameisaidia nini timu?
Ndio si upo msibani na miundombinu sio mibaya toka Liverpool mpaka hapo London hawatakawia labda liwe suala la kuchangishana pesa ya gari.Na huo ndio uungwana jirani au nduguyo likimfika ni jukumu letu kujumuika naeWenyeji wamefata mwili, tuliopo ni majirani.
Je, tunaruhusiwa kuiitikia hiyo pole?
Ndio si upo msibani na miundombinu sio mibaya toka Liverpool mpaka hapo London hawatakawia labda liwe suala la kuchangishana pesa ya gari.Na huo ndio uungwana jirani au nduguyo likimfika ni jukumu letu kujumuika nae
Watu wenye matatizo R na L huwa wananikera sana.Hahaha
Huyohuyo Leno.
Ukijifanya hujamuelewa poa tu
Hujajibu hoja we bwege, ondoa maneno "Arsenane ina kila kitu". Unang'ang'ani mmiliki mmiliki!!Hii ndo shida ya kukurupuka Kutoka kunya na kuwahi kukomenti bila kusoma maelezo!
Mimi nilichomaanisha hapo ni kwamba hayo matokeo hata mmiliki anayafurahia ndo maana mpaka dakika hii Arteta bado anadunda hapo Arsenal!
Sababu ya mmiliki kuyafurahia matokeo anafahamu kabisa hakuna chochote alichokifanya kwenye timu hivyo haimuumi!,na ndo maana nikasema "Hakuna mmiliki ambaye anajua ametoa pesa za usajili wa wachezaji wazuri halafu timu ifanye vibaya aendelee kumvulia kocha",HAYUPO!
Hivyo haya matokeo hata mmiliki anayafurahia na ndo maana Bado Arteta bado anadunda maana anajua hata akimfukuza Arteta yeyote atakayekuja mambo yatakuwa haya haya!
ARTETA HAONDOKI LEO WALA KESHO HAPO ARSENAL,BADO YUPO YUPO SANA KWA MUJIBU WA EDU
We unadhani Edu hii jeuri ya kusema Arteta bado yupo sana hapo Arsenal anaipata wapi?,Hivi tajiri kama Abramovich utampelekea huu usenge akuvumilie?,Tajiri gani aliyeweka pesa yake kwenye timu ambayo inampa faida umpelekee huu usenge?
TATIZO LA ARSENAL NI MMILIKI SIYO KOCHA.
Unaposema kiwango unamaanisha nini hasa? Kama unamaaisha talent nisome hapo nimekiri "Ozil has got very great talent" ila ni "very poor tactically", nikimaanisha hazingatii ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya kile anachotakiwa kufanya anapocheza uwanjani.
Nimewahi kupinga pia huko juu kuwa Ozil sio 'lazy player' kama anavyo tuhumiwa, kwani ukifatilia tangu kipindi cha Wenger stats zake in terms of 'distance covered' alikuwa anakuwa kati ya wa kwanza ama hazidi wa tatu. Ila bado timu ikibanwa utaskia Ozil 'haonekani' uwanjani kabisa.
Pia nimewahi kukiri kuwa me ni miongoni mwa fans wakubwa wa Ozil himself kutokana na 'individual qualities na skills' alizo nazo, ukitazama soka kwa sasa ni vigumu kuona player mwenye 'jicho' la pass kama alivyo Ozil lakini pia ni ukweli kwamba ukiwa na Ozil uwanjani mkiwa mnashambuliwa ni kama mko 10 kwa hiyo anainyima timu 'balance'.
Ozil ni mfano wa wale watu uswahilini utaskia 'wanasifiwa' kuwa, "yule jamaa usimuone vile, ana akili nyingi hadi kachanganyikiwa", simply tu kwa kuwa anaweza ongea jambo moja la maana na 99 ya kipuuzi.







Kuna tofauti kidogo ya timu ya taifa na club, kwenye timu ya taifa hakuna kusajili kocha anachagua wachezaji wa taifa lake ambao anaona watamfaa kwa mahitaji yake hivyo ni rahisi ku-address tatizo kama la Ozil. Imagine unaita watu kama kina Reus, Schweinsteiger, Khedira, Kroos, Draxler hapo ukimchomeka na bwana Ozil ni rahisi kucover mapungufu yakeSasa mkuu kama mtu ana "great talent" lakini ana mapungufu ya kiufundi je kocha kazi yake ni nini?
Kwanini asiyafanyie kazi mapungufu ya mchezaji ili arudi kwenye reli wakati mnajua aseno nzima hakuna mchezaji mwenye uwezo wa pasi kama yeye?


Ozil alisajiliwa na Wenger na may be alijua namna ya kupata the best out of him na sasa Wenger hayupo. Ni kawaida kwa club zote anapokuja kocha mpya kuna wachezaji atasema sio sehemu ya mipango yake, kwa nini mnalazimisha iwe special kwa Ozil?! After all he is not Messi, ni wachezaji calibre ya kina Messi, Ronaldo etc ambao kocha akipewa club analazimika kuwa na mipango nao si Ozil.Maana mpaka anastaafu soka la timu ya taifa sijawahi ona anawekwa benchi kisa ananyima timu balance sasa kwanini iwe aseno?


Je wakati mnamsajili hamkujua he is not good defensively?
ukipata heka 10 umaskini unaangana nao baada ya miaka 3. meaning miche 1000Nipo Soliwaya. Mbele ya Makambako. Nikitaka kulima avocado niandae shilingi ngapi
Hahaha na wewe siku hizi unajipiga banMimi nipo na nitaendelea kuwepo kwa uwezo wa Allah,
Sijawahi Rudi nyuma,ukiona kimya tu ujue changamoto za kibinadamu hazihusiani kabisa na matokeo ya soka.
Here we go


