Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii timu YETU hii, yaani siku hizi hakuna mechi ambayo tunaweza kucheza huku wewe mmshabiki na Matumaini ya kupata points tatu.... Yaani

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hii timu YETU hii, yaani siku hizi hakuna mechi ambayo tunaweza kucheza huku wewe mmshabiki na Matumaini ya kupata points tatu.... Yaani

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Sasa hivi mechi za Arsenal inabidi uangalie nyumbani pekee yako. Honestly I don't believe Arteta has anything left to change the team, he has already exhausted his tactics still we are where we are, certainly dropping further in days to come. No creativity, no discipline, no confidence. Bado Arteta ana sababu ya kuendelea kuwapo?
 
Sasa mkuu kama mtu ana "great talent" lakini ana mapungufu ya kiufundi je kocha kazi yake ni nini?

Kwanini asiyafanyie kazi mapungufu ya mchezaji ili arudi kwenye reli wakati mnajua aseno nzima hakuna mchezaji mwenye uwezo wa pasi kama yeye?

Maana mpaka anastaafu soka la timu ya taifa sijawahi ona anawekwa benchi kisa ananyima timu balance sasa kwanini iwe aseno?

Je wakati mnamsajili hamkujua he is not good defensively?
.....
 
Mashabiki wa Arsenal inabidi mjipange mapema kwa yafuatayo:
-Gharama za bundle maana championship mechi zao hazipo DSTV
-Kurudia topiki ya herufi na silabi maana kule majina ya timu ni magumu kutamkika
Mwisho kabisa chezeni tu mkamilishe ratiba muwaachie ligi yao muende kwenu.
 
Hatarii awamu ya tano tunaomba iingilie kati hili jambo
20201217_183055.jpg
 
Mashabiki wa Arsenal inabidi mjipange mapema kwa yafuatayo:
-Gharama za bundle maana championship mechi zao hazipo DSTV
-Kurudia topiki ya herufi na silabi maana kule majina ya timu ni magumu kutamkika
Mwisho kabisa chezeni tu mkamilishe ratiba muwaachie ligi yao muende kwenu.
Mkuu hufai kabisa kumuuguza Mgonjwa!
😀 😀
 
HAKUNA MMILIKI AMBAYE ATAMVULIA KOCHA AMBAYE KAPEWA TIMU INA KILA KITU HALAFU AONE TIMU IKO MKIANI IKIGOMBANIA KUTOKUSHUKA DARAJA!,NARUDIA TENA HAYUPO!

Arsenal Tatizo si kocha bali ni MMILIKI,Ntaendelea kushikilia huu msimamo wangu mpaka naingia kaburini
Kila kocha anayo tafsiri yake ya kila kitu. Jifunzeni kwa Looserpool na City. Pep ndiye aliyeamua wabaki nani na nani; D. Silva, Aguero, Company, Otamendi, Fernandinyo. Wengine wote timua. Unadhani wamiliki wa City hawakujua kuwa kikosi chao cha akina Toure kilikuwa kikali. Walijua ila wanajua pia kuwa kila kocha anayo tafsiri yake ya kikosi kikali.
 
Back
Top Bottom