Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii ndo shida ya kukurupuka Kutoka kunya na kuwahi kukomenti bila kusoma maelezo!

Mimi nilichomaanisha hapo ni kwamba hayo matokeo hata mmiliki anayafurahia ndo maana mpaka dakika hii Arteta bado anadunda hapo Arsenal!

Sababu ya mmiliki kuyafurahia matokeo anafahamu kabisa hakuna chochote alichokifanya kwenye timu hivyo haimuumi!,na ndo maana nikasema "Hakuna mmiliki ambaye anajua ametoa pesa za usajili wa wachezaji wazuri halafu timu ifanye vibaya aendelee kumvulia kocha",HAYUPO!


Hivyo haya matokeo hata mmiliki anayafurahia na ndo maana Bado Arteta bado anadunda maana anajua hata akimfukuza Arteta yeyote atakayekuja mambo yatakuwa haya haya!


ARTETA HAONDOKI LEO WALA KESHO HAPO ARSENAL,BADO YUPO YUPO SANA KWA MUJIBU WA EDU

We unadhani Edu hii jeuri ya kusema Arteta bado yupo sana hapo Arsenal anaipata wapi?,Hivi tajiri kama Abramovich utampelekea huu usenge akuvumilie?,Tajiri gani aliyeweka pesa yake kwenye timu ambayo inampa faida umpelekee huu usenge?


TATIZO LA ARSENAL NI MMILIKI SIYO KOCHA.
Naona Dully Jr umekuja ki vingine
 
Leaked next season Arsenal fixtures

Arsenal Vs Wycombe Wanderers
Coventry City Vs Arsenal
Rotherham United Vs Arsenal
Arsenal Vs Luton town
Barnsley Vs Arsenal
Derby county Vs Arsenal

Mshindwe na mlegeee!!
 
Msimu huu hakuna rangi mtaacha kuiona
Screenshot_20201216-121525_1608352899768.jpg
 
kuitwa kuwa "wewe ni shabiki wa aseno, ni tusi kubwa mno"

hii record wanayotaka kuivunja Arsenal haijawahi kutokea tangu apande daraja
 
Unaposema kiwango unamaanisha nini hasa? Kama unamaaisha talent nisome hapo nimekiri "Ozil has got very great talent" ila ni "very poor tactically", nikimaanisha hazingatii ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya kile anachotakiwa kufanya anapocheza uwanjani.

Nimewahi kupinga pia huko juu kuwa Ozil sio 'lazy player' kama anavyo tuhumiwa, kwani ukifatilia tangu kipindi cha Wenger stats zake in terms of 'distance covered' alikuwa anakuwa kati ya wa kwanza ama hazidi wa tatu. Ila bado timu ikibanwa utaskia Ozil 'haonekani' uwanjani kabisa.

Pia nimewahi kukiri kuwa me ni miongoni mwa fans wakubwa wa Ozil himself kutokana na 'individual qualities na skills' alizo nazo, ukitazama soka kwa sasa ni vigumu kuona player mwenye 'jicho' la pass kama alivyo Ozil lakini pia ni ukweli kwamba ukiwa na Ozil uwanjani mkiwa mnashambuliwa ni kama mko 10 kwa hiyo anainyima timu 'balance'.

Ozil ni mfano wa wale watu uswahilini utaskia 'wanasifiwa' kuwa, "yule jamaa usimuone vile, ana akili nyingi hadi kachanganyikiwa", simply tu kwa kuwa anaweza ongea jambo moja la maana na 99 ya kipuuzi.
Tatizo sio Ozil, tatizo ni timu/aina ya wachezaji anaocheza nao. Kazoea kucheza na players wenye viwango vya maana.
 
Mkuu ni kweli ni kazi ya kocha kufanyia wachezaji wake marekebisho ya kiufundi, lakini pia ifahamike kuwa kuna umri wa kumbadili mtu tactically, Ozil umri huo alishauvuka kwa hiyo kwa sasa ni ama uamue kumtumia alivyo au uachane naye.


Kuna tofauti kidogo ya timu ya taifa na club, kwenye timu ya taifa hakuna kusajili kocha anachagua wachezaji wa taifa lake ambao anaona watamfaa kwa mahitaji yake hivyo ni rahisi ku-address tatizo kama la Ozil. Imagine unaita watu kama kina Reus, Schweinsteiger, Khedira, Kroos, Draxler hapo ukimchomeka na bwana Ozil ni rahisi kucover mapungufu yake

Ozil alisajiliwa na Wenger na may be alijua namna ya kupata the best out of him na sasa Wenger hayupo. Ni kawaida kwa club zote anapokuja kocha mpya kuna wachezaji atasema sio sehemu ya mipango yake, kwa nini mnalazimisha iwe special kwa Ozil?! After all he is not Messi, ni wachezaji calibre ya kina Messi, Ronaldo etc ambao kocha akipewa club analazimika kuwa na mipango nao si Ozil.
Mkuu hapa unatudanganya sasa.. Timu zinabadili mifumo ya kiuchezaji kila kukicha na zinatumia wachezaji wale wale, timu zinabadili makocha na kila kocha anakuja na tactics na mfumo wake na wachezaji ni wale wale,, wachezaji wanahama kila kukicha tena wakiwa na umri mkubwa tu na timu wanazoenda zina mifumo na tactics tofauti... Kwani huyu ozil yeye ni jiwe?? Wewe sema kakutana na wachezaji hawajielewe.
 
Back
Top Bottom