Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Goalllllllllllllllllllllllllllllllllllllll Mikel arteta equalise the goal now it's 2 for arsenal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
POLENI, NIMESOMA TOKA JUU NIMEONA MNAVYOLIALIA KWA UCHUNGU. LAKINI ANGALAO MMEJUA KUNA TOFAUTI KATI YA TIMU KUBWA NA ARSENAL.
 
haya ni jumanne nyingine arsenal anakutana na man city kwenye carabao cup, muda ni saa 5:00 usiku
😀 😳😳😀

aisee mtapigwa kipande mpaka akili iwakae vizuri
 
"SISI NI TITLE CONTENDER" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
 
Adjustments.jpg
 
Nafikiri tuswitch kutoka 3 4 3 mpaka 3 4 1 2.

Pepe awe hiyo 1 au kwenye 2 awe ni left striker. Akiwa 1 hii 2 wawe Auba na Laca kisha kwingine kubaki kama kulivyo.

3 4 3 imetuonyesha tunaweza miliki mpira ila hatuwezi kupenya ndani kwa wapinzani. 3 4 1 2 itawapa options hawa forwards ama kucheza one two au mmoja (pepe) awadrag opponents mpaka ndani.

Tunahitaji magoli tusiutanue sana uwanja tushaona tukiutanua hatuna uwezo wa kuubana. So tuubane tu by default.
Nyny mnacho kiona nyny ku switch tu.ple muhimu kusajil wachez bila ya hivy koch yyet atake kuja ple kaz itakuwa ileile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom