Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Who would imagine just 3 months after winning FA cup arteta would be talking about the possible sack???
Unamaanisha Tottenham ni timu kubwa London?Jumapili ijayo wanacheza na timu kubwa zaidi pale London. Kwa kifupi tutawapa kipigo kama cha City. Jose is back.
Points saba nyingi mno, to compete you need to keep up withe the best. Wenzako wana points 20 na wapo on fire wewe umekung'utwa three on trot, huna continuity kwenye matokeo chanya unadhani unaweza kumfikia huyo wa kwanza!Gap la points na timu inayoongoza ligi hazifiki points 7, sio mbaya sana
Kwahiyo unataka kusemaje?Gap la points na timu inayoongoza ligi hazifiki points 7, sio mbaya sana
Not only a fvcking liar but an Hypocrite bitch.Akifukuzwa wala sitoskitika.
Juu ya kwamba nampenda Arteta but he is a LIAR. He is a fvckng liar. Ametudanganya kwamba ozil ameachwa for football reasons wakati anajua kabisa that's a lie.
View attachment 1639645
Ligi bado mbichi mkuu Uefa ipo wazi, in Arteta we trustGap la points na timu inayoongoza ligi hazifiki points 7, sio mbaya sana
Nashangaa aiseee. Point 7 mtu anaona kidogo??Points saba nyingi mno, to compete you need to keep up withe the best. Wenzako wana points 20 na wapo on fire wewe umekung'utwa three on trot, huna continuity kwenye matokeo chanya unadhani unaweza kumfikia huyo wa kwanza!
So sadAuba is contemplating ditching the club come next window
mechi mbili unaona nying mzee?Nashangaa aiseee. Point 7 mtu anaona kidogo??
Ligi bado mbichi mkuu Uefa ipo wazi, in Arteta we trust
Jumapili ijayo wanacheza na timu kubwa zaidi pale London. Kwa kifupi tutawapa kipigo kama cha City. Jose is back.





Duh!Hii timu yetu hiii, hii timu yetu hii, sijui lini tu itatumpunzisha kutupa stress.
Will jr naona Leo umeamua kutokea🤣🤣🤣 Mzee baba nilikuambia lazima mfungwe na wolves ila J'2 nitawasapoti msiniangushe mkimpiga Tottenham au mkidraw na Liverpool nae akidraw Mimi nakaa kileleniLigi bado mbichi mkuu Uefa ipo wazi, in Arteta we trust