Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Kwahiyo atakua katimiza goli mbili tangu msimu kuanza, sio?
Hatimaye Aubameyang anafunga goli, lakini anajifunga
Hatimaye Aubameyang anafunga goli, lakini anajifunga
Xhaka should be dumped, asugue bench. Nadhani Ozil alipo, meno yote yapo nje
Mkuu tuwe serous, hivi wachezaji waliopo Arsenal na Burnley wapi ni wakali? (Hapa nazingatia mmoja mmoja )Kila mara nawaambia hawa wachezaji ni vibaka tu wanapiga hela ya kroenke
Xhaka, Arteta should be shown an exit door
Kocha gani anashindwa kuleta discipline kwenye timu? We have two players now suspended (red-carded), na katika matukio yote hayo suspension zao zinai-gharamu timu. Bahati mbaya mmoja ni moja wa makapteni mwingine nadhani ni namba tatu kwenye payroll. kosa alilolifanya Xhaka ni la kipumbavu kwa umri wake. He knew the team needed to win and the consequences of his madnessMkuu tuwe serous, hivi wachezaji waliopo Arsenal na Burnley wapi ni wakali? (Hapa nazingatia mmoja mmoja )
Kuna mwenzako mmoja alisema timu inakosa morally, me ninamuunga mkono.
Kwasasa Arsenal, silioni kosa, sio kwa kocha wala wachezaji.
Nimefuatilia hii game kupitia sofascore na matokeo ndiyo kama hivi...
Kesho mtu unakua mkali kwa watoto utafikiri ndiyo walikutuma ushabikie Arsenal "Baba ninunulie bastola na gari na pikipiki na juisi na pipi" "Nitakupasua usiniongeleshe vitu visivyowezekana"
Arsenal wajitahidi tu wasishuke daraja.
Mpaka sasa hakuna Team ambayo umnaweza kwenda mnauhakika wa point 3Mchezo wa Jana dhidi ya Burnley tulicheza vizuri mno hadi Granit Xchaka alipopata kadi nyekundu kwa kushindwa kujizuia hasira zake dhidi ya mchezaji wa Burnley.
Binafsi naamani timu yetu haitashuka daraja na wala haitatokea Arsenal kushuka daraja, sisi ni wajuu. Hakuna wa kutushusha chini, hiki tunachopitia ni kipindi cha mpito ambacho hakina muda mrefu tutakivuka.
Hawa ambao wanatabiri eti Arsenal mwaka huu inashuka daraja, wanaota ndoto ya mchana. Tumecheza almost mechi 12, bado tuna mechi zaidi ya 26.
Tuna nafasi ya kumaliza top 4 mwaka huu iwapo tutafanyia kazi mapungufu madogo yaliyopo. Bado tunakikosi kizuri zaidi ya timu ya Man utd, Chelsea, pamoja na Spurs waliopo juu yetu.
Tuendelee kuisupport timu yetu.
Forever Gunners![]()
Nitafuatilia tena ligi ya Uingereza nikisikia Arteta kafukuzwa,kwaherini
Tuna nafasi ya kumaliza top 4 mwaka huu iwapo tutafanyia kazi mapungufu madogo yaliyopo. Bado tunakikosi kizuri zaidi ya timu ya Man utd, Chelsea, pamoja na Spurs waliopo juu yetu.
Tuendelee kuisupport timu yetu.
Forever Gunners 💪💪💪💪💪💪
Sio kweli Chief, kwa kasi ya jana tuliyoanza nayo isingekuwa uzembe wa Xhacha tulikuwa tunashinda mechi.Mpaka sasa hakuna Team ambayo umnaweza kwenda mnauhakika wa point 3
Nasema tena hakuna kabisa
yan arsenal ni zaidi ya Chelsea afu arsenal inamaliza top four😂😂😂😂Mchezo wa Jana dhidi ya Burnley tulicheza vizuri mno hadi Granit Xchaka alipopata kadi nyekundu kwa kushindwa kujizuia hasira zake dhidi ya mchezaji wa Burnley.
Binafsi naamani timu yetu haitashuka daraja na wala haitatokea Arsenal kushuka daraja, sisi ni wajuu. Hakuna wa kutushusha chini, hiki tunachopitia ni kipindi cha mpito ambacho hakina muda mrefu tutakivuka.
Hawa ambao wanatabiri eti Arsenal mwaka huu inashuka daraja, wanaota ndoto ya mchana. Tumecheza almost mechi 12, bado tuna mechi zaidi ya 26.
Tuna nafasi ya kumaliza top 4 mwaka huu iwapo tutafanyia kazi mapungufu madogo yaliyopo. Bado tunakikosi kizuri zaidi ya timu ya Man utd, Chelsea, pamoja na Spurs waliopo juu yetu.
Tuendelee kuisupport timu yetu.
Forever Gunners 💪💪💪💪💪💪
Mkuu mbona imani yako kwa chama letu la Arsenal imeshuka namna hiyo??Castr huwa anawashauri watu wa aina yako kuanzisha YouTube kwa ajili ya kufanya comedy.
Hii post yako ni zaidi ya comedy
Fanya analysis ya kikosi chetu mchezaji mmoja mmoja dhidi ya kikosi chenu cha Chelsea kwa mchezaji mmoja mmoja, utaona namna ambavyo tulivyowazidi.yan arsenal ni zaidi ya Chelsea afu arsenal inamaliza top four😂😂😂😂
Hz ndio za mchana kweupeee🚮
🚶🚶🚶
yan arsenal ni zaidi ya Chelsea afu arsenal inamaliza top four
Hz ndio za mchana kweupeee
![]()

kwa kizungu tunaita "future impossible tense"
Mchezo wa Jana dhidi ya Burnley tulicheza vizuri mno hadi Granit Xchaka alipopata kadi nyekundu kwa kushindwa kujizuia hasira zake dhidi ya mchezaji wa Burnley.