Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna timu yenyewe wachezaji wasio na discipline inashinda matches, kocha kama hilo nalo linamshinda, then that is a big concern
 
Screenshot_20201214-001147_All%20Goals.jpg
 
Nimefuatilia hii game kupitia sofascore na matokeo ndiyo kama hivi...

Kesho mtu unakua mkali kwa watoto utafikiri ndiyo walikutuma ushabikie Arsenal "Baba ninunulie bastola na gari na pikipiki na juisi na pipi" "Nitakupasua usiniongeleshe vitu visivyowezekana"
 
You cannot win a Premier league games with Championship player and Championship Manager.
 
Nimewahi kusema hapa na narudia kusema,Arsenal tatizo si kocha

Arsenal Tatizo kubwa ni mmiliki .

Kuna mtu(Shabiki wa Arsenal) niliwahi kumuelewesha kipindi flani ambako Unai emery anatimuliwa na Nkamwambia Arsenal tatizo si Unai bali tatizo lipo kwa mmiliki!,hakutaka kunielewa bali alisema "Ngoja sasa Arteta apewe timu halafu uone kama Arsenal hajabeba ubingwa"

Nilijitahidi sana kumuelewesha namna ninavyoifahamu hii timu toka nilipokuwa Shabiki rasmi toka enzi za miaka ya 2000 lakini kijana aligoma katakata na kusema "Tatizo la Arsenal ni kocha"

Leo hii tena Arteta hafai!,najua mashabiki watapiga domo Arteta atimuliwe ili walete kocha mwingine huku wakiendelea kujifariji ya kwamba tumeleta kocha mpya na ubingwa tutachukua!
Huwezi kutaka kumuua nyoka halafu umpige kwenye mkia badala ya kupiga kichwa,HAIWEZEKANI!

NARUDIA TENA ,TATIZO LA ARSENAL SI KOCHA BALI NI MMILIKI BWANA KROENKE!

Ninaifahamu Arsenal ndani na nje hivyo watu huwa wakiongea eti tatizo ni makocha,huwa nabaki nawatizama tu!

Nina pointi nyingi za kuwatetea makocha na nina pointi nyingi za kuelezea kwanini Bawana Kroenke hafai!


USIKU MWEMA,LALENI KWA MAUMIVU
 
Nilikuwa namuona arteta bonge la kocha lkn kitendo cha wachezaji wake kuonyeshwa kadi nyekundu kwa makosa yanayofanana ni dhahiri nidham ya wachezaji imemshinda hivyo hana budi kuondoka
 
Back
Top Bottom