Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
City kashawapiga so subili round ya pili tukuoneSio kweli Chief, kwa kasi ya jana tuliyoanza nayo isingekuwa uzembe wa Xhacha tulikuwa tunashinda mechi.
Hata hivyo sio kwamba tunaowezo wa kuifunga Everton mechi I kayo bali hata timu yako pendwa tutaifunga next game na kubeba points zote 3![]()
Kila nikiangalia Next game sioni Kama mnaweza kutoka na Point 3
Saton ni wakali,bora ukutane hata na Man utd, sio hao viumbe









