Chelsea na Man uMnapigwa Hadi na Burnley kweli? Na hii Burnley mbovu Tena kwenu Kama Burnley inawasumbua sijui mtaifunga team gani nyingine?
Chelsea na Man uMnapigwa Hadi na Burnley kweli? Na hii Burnley mbovu Tena kwenu Kama Burnley inawasumbua sijui mtaifunga team gani nyingine?
Mafoward, na kwa namba aliyocheza auba jana na tammy, wanatakiwa wasubirie mpira kwa ajili ya counter au kucheza one two na atakayetoka na mpira.Maforward ndiyo walinzi namba mbili wa set pieces, baada ya CBs.
Naona unajipa matumaini hewaChelsea na Man u
Sasa uongo? Hivi ndiyo vibonde vyetu kimoja kishakula bakora kingine kinajiandaaNaona unajipa matumaini hewa
Mpira wa Sasa ndio unataka hivyo hayo maelezo yako Ni ya kipindi Cha zamani.Mafoward, na kwa namba aliyocheza auba jana na tammy, wanatakiwa wasubirie mpira kwa ajili ya counter au kucheza one two na atakayetoka na mpira.
Mh apiaMpira wa Sasa ndio unataka hivyo hayo maelezo yako Ni ya kipindi Cha zamani.
Labda Chelsea acheze na wachezaji 7 uwanjani ndio utamfunga sio tofauti na hapo.Sasa uongo? Hivi ndiyo vibonde vyetu kimoja kishakula bakora kingine kinajiandaa
Akiwa kocha si mlikuwa mnamtania kuwa ni Mr Bin?Arsenal board should consider calling back Wenger to replace arteta. No any other coach can take us where we want to be
Kwahiyo tulivyowafunga FA wachezaji walikua 7?Labda Chelsea acheze na wachezaji 7 uwanjani ndio utamfunga sio tofauti na hapo.
Inawezekana una hoja ya msingi ila hebu fafanua shida ya mmliki iko wapi ukizingatia msimu uliopita Arteta alipewa karibia wachezaji wote aliohitaj.Nimewahi kusema hapa na narudia kusema,Arsenal tatizo si kocha
Arsenal Tatizo kubwa ni mmiliki .
Kuna mtu(Shabiki wa Arsenal) niliwahi kumuelewesha kipindi flani ambako Unai emery anatimuliwa na Nkamwambia Arsenal tatizo si Unai bali tatizo lipo kwa mmiliki!,hakutaka kunielewa bali alisema "Ngoja sasa Arteta apewe timu halafu uone kama Arsenal hajabeba ubingwa"
Nilijitahidi sana kumuelewesha namna ninavyoifahamu hii timu toka nilipokuwa Shabiki rasmi toka enzi za miaka ya 2000 lakini kijana aligoma katakata na kusema "Tatizo la Arsenal ni kocha"
Leo hii tena Arteta hafai!,najua mashabiki watapiga domo Arteta atimuliwe ili walete kocha mwingine huku wakiendelea kujifariji ya kwamba tumeleta kocha mpya na ubingwa tutachukua!
Huwezi kutaka kumuua nyoka halafu umpige kwenye mkia badala ya kupiga kichwa,HAIWEZEKANI!
NARUDIA TENA ,TATIZO LA ARSENAL SI KOCHA BALI NI MMILIKI BWANA KROENKE!
Ninaifahamu Arsenal ndani na nje hivyo watu huwa wakiongea eti tatizo ni makocha,huwa nabaki nawatizama tu!
Nina pointi nyingi za kuwatetea makocha na nina pointi nyingi za kuelezea kwanini Bawana Kroenke hafai!
USIKU MWEMA,LALENI KWA MAUMIVU
Time will tellMiezi kadhaa nyuma zilikuja tetesi kwamba Arsenal inamfuatilia Dominick, jana zinakuja taarifa kwamba Arsenal haikupeleka hata ofa na Dominick anajiunga na Leipzig.
Kama vile hakuna mpango wa kurecover.
Arteta na Luiz haziivi. Inadaiwa Luiz anavujisha taarifa za klabu na Arteta amewaambia wachezaji yeyote ambaye amevujisha taarifa atapotea.
Wachezaji baadhi walikasirika na jinsi Arteta alivyoiongelea kadi nyekundu ya Pepe. Bado sijamsikia akiiongelea kadi ya Xhaka ila naamini itakua ni yaleyale.
Gabriel kasema msinune. Mnahitajika.
Pole broAise niko down mpaka najiona sina raha na kitu chochote kile! Niko confused as well about Signor Arteta, apewe muda au tumkimbilie Allegri?!!
What a mess, nachekwa mtaani, pub hata na wafanya biashara wenzangu, currently am having little nightmare in my life, shit....
Baada ya kufungwa na Burnley tena Emirates kwa Burnley ambaye hakuwah kushinda hapo zaidi ya miaka 40 kwa sasa Arsenal inahitaji kocha mpya(narudia kocha mpya)tena angepatikana leo ,sioni kama J5 tutashinda hilo silioni kabisa timu imeshaanguka na jahazi linazama style ya uchezaji umeshajulikana kocha hana mbinu mpya hana zaidi ya kupiga cross hana cha kuoffer au plan B hana sasa unategemea kutakuwa na jipya na ukiangalia body language za wachezaji unaona wamekata tamaaAise niko down mpaka najiona sina raha na kitu chochote kile! Niko confused as well about Signor Arteta, apewe muda au tumkimbilie Allegri?!!
What a mess, nachekwa mtaani, pub hata na wafanya biashara wenzangu, currently am having little nightmare in my life, shit....