

Ushindi gani unazungumzia?Kwa muonekano wa hii game na hali ya timu ushindi ni wa lazima ili turudi kwenye njia
Burnley anakusalimiaSijawahi kukimbia uzi mzee, ni majukumu ya kikazi tu sometime unakuwa ktk mazingira ambayo so rafiki na social networks ..
All in all
Everton 1 Cheltako O
Tuishi humo Kwanza,
Hzo nyingine zote kelele
Arteta atafika hiyo tarehe kweli?Tarehe 16 tuna Southampton,huyu ndo anakuja kitupgilia msumari wa mwisho kwenye Jeneza
Namna Southampton ambavyo huwaga anatusumbua hebu fikiria tunakutana naye sisi tukiwa wabovu na yeye akiwa on fire,walahi tutaumia sana tarehe 16