joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,866
- 39,656
Daah huu mwaka bora uishe,mechi ya tatu mfukulizo tunapigwa.
Kwa muonekano wa hii game na hali ya timu ushindi ni wa lazima ili turudi kwenye njia

We jamaa
Musipo shinda leo mutakua mmelogwa.
Jichangeni nauli niwapeleke kwa mzee wa LUPATU.
Eh sofascore inanionyesha kuna red kafanyaje Xhaka?
Msitake kumtupia lawama mmiliki.Nimewahi kusema hapa na narudia kusema,Arsenal tatizo si kocha
Arsenal Tatizo kubwa ni mmiliki .
Kuna mtu(Shabiki wa Arsenal) niliwahi kumuelewesha kipindi flani ambako Unai emery anatimuliwa na Nkamwambia Arsenal tatizo si Unai bali tatizo lipo kwa mmiliki!,hakutaka kunielewa bali alisema "Ngoja sasa Arteta apewe timu halafu uone kama Arsenal hajabeba ubingwa"
Nilijitahidi sana kumuelewesha namna ninavyoifahamu hii timu toka nilipokuwa Shabiki rasmi toka enzi za miaka ya 2000 lakini kijana aligoma katakata na kusema "Tatizo la Arsenal ni kocha"
Leo hii tena Arteta hafai!,najua mashabiki watapiga domo Arteta atimuliwe ili walete kocha mwingine huku wakiendelea kujifariji ya kwamba tumeleta kocha mpya na ubingwa tutachukua!
Huwezi kutaka kumuua nyoka halafu umpige kwenye mkia badala ya kupiga kichwa,HAIWEZEKANI!
NARUDIA TENA ,TATIZO LA ARSENAL SI KOCHA BALI NI MMILIKI BWANA KROENKE!
Ninaifahamu Arsenal ndani na nje hivyo watu huwa wakiongea eti tatizo ni makocha,huwa nabaki nawatizama tu!
Nina pointi nyingi za kuwatetea makocha na nina pointi nyingi za kuelezea kwanini Bawana Kroenke hafai!
USIKU MWEMA,LALENI KWA MAUMIVU
Nimewahi kusema hapa na narudia kusema,Arsenal tatizo si kocha

How can they keep Arteta when they sacked Emery with a much better record. Shambolic. Embarrassing
Leo utaandika kila lugha
Nawatakia usiku mwema!nawakumbusha mashabiki wenzangu next games ni Southampton Everton then Chelsea hivyo kuwa wa 18 au kuwa championship haitakuwa jambo la kushangaza this season!Arteta bila kuondoka Arsenal matokeo yatakuwa hayahaya !Arsenal inahitaji kocha wa mwenye quality kubwa ya kidunia kwa sasa tangia 1959 leo tunarecord ngumu utasemaje Arteta ni kocha anayehitaji muda huku kafungwa mechi 4 mfululizo Emirates na kafunga goli 1 katika hizo Mamamamaeee na nimeamshwa na Girlfriend wangu ananiambia tumefungwa nkacheka sana kuona watu bado wanaenda kibanda umiza hahahaha huku kocha bado ArtetaMamamamaeee katika EPL kwenye kucreate chances ni wa 20 ,short on target wa 18,Goal tulizofunga ni wa 17 ,nani katuroga Arsenal??
Bila Arteta Kuondoka Arsenal kuanzia leo kuna hatari ya kuwa wa 18 na sitashangaa kwa hilo kama statistics zinavyojieleza, Arteta hatakiwi kuwa Arsenal amefeli mechi 9 unafungwa 6?hapa kocha hatuna but sababu Edu wamepiga hela kwenye kumleta wakampa hadi cheo cha umanager sijui watamtoaje
Kumbe ata mpira hukuangalia, naona hukutaka kushuhudia ujinga![]()
Mfano?Hapana nakukatalia, pengine hujui, the owner has provided all financial supports required
Tena na kulipa mishahara mikubwa mikubwa.Hapana nakukatalia, pengine hujui, the owner has provided all financial supports required
Mfano?