Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Mkuu umenena vem sana,unadhani ni sababu zipi zilifanya tukamkosa AOUR?
Negotiating team was not serious, but the fund was there
Mkuu umenena vem sana,unadhani ni sababu zipi zilifanya tukamkosa AOUR?
Yupi?Kununua mchezaji yoyote anayehitajika
Recently, dili ya pepe, saliba, partey (japo huyu sio aliotakiwazaidi kitimu lakini tajiri aliambiwa na akatekeleza), salaries ya willian na auba is not a joke.Mfano?
Nimewahi kusema hapa na narudia kusema,Arsenal tatizo si kocha
Arsenal Tatizo kubwa ni mmiliki .
Kuna mtu(Shabiki wa Arsenal) niliwahi kumuelewesha kipindi flani ambako Unai emery anatimuliwa na Nkamwambia Arsenal tatizo si Unai bali tatizo lipo kwa mmiliki!,hakutaka kunielewa bali alisema "Ngoja sasa Arteta apewe timu halafu uone kama Arsenal hajabeba ubingwa"
Nilijitahidi sana kumuelewesha namna ninavyoifahamu hii timu toka nilipokuwa Shabiki rasmi toka enzi za miaka ya 2000 lakini kijana aligoma katakata na kusema "Tatizo la Arsenal ni kocha"
Leo hii tena Arteta hafai!,najua mashabiki watapiga domo Arteta atimuliwe ili walete kocha mwingine huku wakiendelea kujifariji ya kwamba tumeleta kocha mpya na ubingwa tutachukua!
Huwezi kutaka kumuua nyoka halafu umpige kwenye mkia badala ya kupiga kichwa,HAIWEZEKANI!
NARUDIA TENA ,TATIZO LA ARSENAL SI KOCHA BALI NI MMILIKI BWANA KROENKE!
Ninaifahamu Arsenal ndani na nje hivyo watu huwa wakiongea eti tatizo ni makocha,huwa nabaki nawatizama tu!
Nina pointi nyingi za kuwatetea makocha na nina pointi nyingi za kuelezea kwanini Bawana Kroenke hafai!
USIKU MWEMA,LALENI KWA MAUMIVU
Hizi pesa zote katoa lini ikiwa kampuni yake ya kuweza kutoa hizo pesa haina miezi miwili?Recently, dili ya pepe, saliba, partey (japo huyu sio aliotakiwazaidi kitimu lakini tajiri aliambiwa na akatekeleza), salaries ya willian na auba is not a joke.
They were told to choose kati ya partey na aour na wao wakachagua walipochagua. It was not possible to buy them all na edu na genge lake wakafanya bad choice f**$#%@ them.Negotiating team was not serious, but the fund was there
Relief Mirzska na mysterio Kroenke hajawahi kutoa pesa yake kwa ajili ya usajli hata mara moja.
Mpaka jana wote tulikua tunajua Arteta haondoki leo wala kesho (sijui baada ya leo itakuaje) kwakua Kroenke na bodi walionyesha kumuamini Arteta na Kroenke aliridhia kutoa pesa mfukoni kwaajili ya usajili.
Kwa Mara Ya Kwanza.
Kwa mara ya kwanza tangu aitwae Arsenal pesa ya Kroenke itatumika dirisha la January. Mwezi uliopita alitumia kampuni yake nyingine kuingia ubia na Arsenal so hiyo kampuni (ninavyoamini) ndiyo itatoa hizo pesa so itaclear FFP.
Nyinyi mnasema mmiliki amekua akiback manunuzi, manunuzi gani? Fanyeni kupoint kwamba mchezaji fulani na fulanj ni pesa toka kwa Kroenke.
Usifanye hivyo baba angu kwahiyo hasira zako unataka unye hapa?Nlikuwa nimelala ila baada ya kuamshwa na my GF nimebaki najiuliza hatma ya Arsenal ni nini?Arteta nashangaa bado kocha wa Arsenal hadi sasa why?mbona makocha bora wa Dunia wapo?Edu kapiga hela nyingi sana na Arteta na board hadi ikampa umanager hata mwaka Arsenal hana leo hii wanaoneana aibu naapa mara 3 mara 3 tukipata point katika next 3 fixtures kama Arteta atakuwa bado ni mocha wa board sio fans (Southampton Everton then Chelsea) ntakunya humu humu JF
Southampton ,Aston villa ,Leicester, Everton, hizo timu na Arsenal ipi ni timu ambayo inalipa vizuri na wachezaji wake wana thamani ya kidunia kama sio Arsenal?Relief Mirzska na mysterio Kroenke hajawahi kutoa pesa yake kwa ajili ya usajli hata mara moja.
Mpaka jana wote tulikua tunajua Arteta haondoki leo wala kesho (sijui baada ya leo itakuaje) kwakua Kroenke na bodi walionyesha kumuamini Arteta na Kroenke aliridhia kutoa pesa mfukoni kwaajili ya usajili.
Kwa Mara Ya Kwanza.
Kwa mara ya kwanza tangu aitwae Arsenal pesa ya Kroenke itatumika dirisha la January. Mwezi uliopita alitumia kampuni yake nyingine kuingia ubia na Arsenal so hiyo kampuni (ninavyoamini) ndiyo itatoa hizo pesa so itaclear FFP.
Nyinyi mnasema mmiliki amekua akiback manunuzi, manunuzi gani? Fanyeni kupoint kwamba mchezaji fulani na fulanj ni pesa toka kwa Kroenke.
Siyo wewe wala Relief Mirzska atakayetaja mchezaji ambaye ilitumika pesa ya Kroenke mtazunguka kwenye hivi hivi vikorido vya anagarantii and what not ila nilichoandika ndiyo ukweli wenyewe.Hata kama hafanyi prompt payment he provides guarantee for the payment kupitia consortium zake
Point yako ni nini sasa?Southampton ,Aston villa ,Leicester, Everton, hizo timu na Arsenal ipi ni timu ambayo inalipa vizuri na wachezaji wake wana thamani ya kidunia kama sio Arsenal?
Waliambiwa wachague? Arteta na wenzake walikua na uhakika wa kuwanasa hao wote wawili.They were told to choose kati ya partey na aour na wao wakachagua walipochagua. It was not possible to buy them all na edu na genge lake wakafanya bad choice f**$#%@ them.
Edu na genge lake ndio wamefanya maamuzi juu ya ozil na madhara yake ndio haya. Now, go ahead and bench Aubameyang kama ana uwezo huyo arteta. Yaani anajikuta tu kashakuwa kiji-guardiola mtoto
Kama Arsenal inawachezaji wanaopokea mshahara mkubwa tena kila wiki na wana thamani kubwa ya kidunia why tuzidiwe kiucheazaji na kipoints tena Gap kubwa hadi sasa na hizo team?Point yako ni nini sasa?
Baba angu mi naamini haupo sawa hivi unajua umeniquote mimi nikiwa nasema Kroenke hatoi pesa yake kununua wachezaji?Kama Arsenal inawachezaji wanaopokea mshahara mkubwa tena kila wiki na wana thamani kubwa ya kidunia why tuzidiwe kiucheazaji na kipoints tena Gap kubwa hadi sasa na hizo team?
Siyo wewe wala Relief Mirzska atakayetaja mchezaji ambaye ilitumika pesa ya Kroenke mtazunguka kwenye hivi hivi vikorido vya anagarantii and what not ila nilichoandika ndiyo ukweli wenyewe.
Unaweza point mchezaji, mmoja tu, huwezi tuonane baadaye hasira zikiwa zimepungua.
Waliambiwa wachague? Arteta na wenzake walikua na uhakika wa kuwanasa hao wote wawili.
Ndiyo sababu ya ile video ya Cazorla ikionyesha bendera ya ufaransa na ya ghana. Right until tukaonekana hatupo serious kwa kujivuta kuweka ofa mezani.
Kroenke alikua wapi?
Waliambiwa wachague? Arteta na wenzake walikua na uhakika wa kuwanasa hao wote wawili.
Ndiyo sababu ya ile video ya Cazorla ikionyesha bendera ya ufaransa na ya ghana. Right until tukaonekana hatupo serious kwa kujivuta kuweka ofa mezani.
Kroenke alikua wapi?