How soon is soon?Soma sentensi ya mwisho utaelewa
Bwana hamna kitu kama hicho we ukisikia wapi....we mwana acha uongo duh.....haaahaaaaaSo unabisha kwasababu hujawahi kuona au unabisha kwa kutokujua?
Kwanza tunaelewana?
Very soonHow soon is soon?
Kama Jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekufa hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimekuja kuwakera watu wa Arsenal. Will Jr, Aroon mpo wapi
Mbona huonekani tena jukwaani mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leno panua niweke tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wewe unashinda sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mtu ashinde mechi zake mkuu
Hahahahahahahahahahahahahahahahaaaaa...Nimecheka sana
Timu imeshafungwa Goli 2 halafu kocha anafanya substitute ya Game Changer ni Edward Nketiah hahahahahahahahah.
Arsenal tayari ni AVERAGE TEAM ALREADY.
Hizi watabahatika kupata angalau draw moja[emoji23][emoji23]Arsenal tumecheza vizuri sema bahati haikuwa yetu[emoji2957][emoji2957].
Next arsenal games
Southampton
Everton
Man city
Chelsea
Bado wamemfukuza na Ozil ..dah ndo balaa linapozidi.Arteta hana makosa, ni kocha mzuri hata akija Chelsea tutaendelea kukiwasha, Tatizo la Arsenal hamkuachana vizuri na Wenga. Mrudfisheni Wenga kama anaondoaka mumlazimishe aache baraka zake
Kaa sababu waliwafungaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu mimi, Ars8 hata akifungwa mechi mia, bado nitamuombea njaa tu.
Sababu siwapendiiiiiiiiii
Hawa ni mbuzi tu ..sasa wameungana na mbuzi wenzao wote watacheza Europa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti nyie Mbuzi[emoji23], ila we jamaa.