Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmeongezewa nguvu kuna pundamilia ameletwa kwenu ili muungane nae mpeni ushirikiano.
 
Adjustments.jpg
 
Tutawaongezea na Madrid ili tamasha lenu la futuhi lizidi kuchangamka
 
Nimecheka sana
Timu imeshafungwa Goli 2 halafu kocha anafanya substitute ya Game Changer ni Edward Nketiah hahahahahahahahah.

Arsenal tayari ni AVERAGE TEAM ALREADY.
Kiukweli man u mmejitahidi.

Mmefuzu kwenda Europa wakati wenzenu Inter wameshindwa hata kuwafuata wamerudi zao kwao Italy.

Ila labda nyinyi itawauma kwakua ili mfuzu mlihitaji point moja tu na Ole is at wheel
 
Sa hivi wako kama kimya ngoja washinde vigemu viwili au vitatu muone makelele yao
 
WE ulisikia wapi......Sijawahi kuona hyo kitu labda hapa bongo....kwamba game inachezwa jioni afu official starting eleven inatoka asubuhi....labda ligi za china

Jana Bielsa alitaja kikosi chake kitakachocheza weekend dhidi ya Westham.

Moyes alipohojiwa kuhusu hilo alisema kipindi cha nyuma kidogo huo ulikuwa ni utaratibu.

Cc Lizarazu

Ona hapo chini nimekopi kutoka bbc.com


Posted at 13:3713:37

'Bielsa naming team does not make it easier'​

Leeds v West Ham (Fri, 20:00 GMT)
3c7bf6b0-ae33-4b4c-95bf-8ea3beb13e10.jpg

West Ham United:

Back across London to Chadwell Heath and Moyes is asked about Leeds boss Marcelo Bielsa taking the uncommon step of announcing his team in his news conference yesterday.
"Very often the teams were named beforehand in Spain," said Moyes, who managed Real Sociedad in 2014-15.
"We see it in other sports too. It doesn't happen in our sport for different reasons, but overall, does it make it easier? I don't think so because they're a good team.
"We'll keep our team until we're ready to announce it and we'll prepare our players for the game."
Then, Moyes jokes: "It might not be his team! It could be a bluff."
 
Leo Saliba anaweza akacheza.

Game tunaweza kufungwa na siyo tatizo.

Tho ni ushindi tunaouhitaji.

Ambaye nina uhakika atashinda ni Tottenham as hii timu ilimpiga na Mourinho atataka kulipiza.

Also kuthibitisha nani mkubwa
 
Leo Saliba anaweza akacheza.

Game tunaweza kufungwa na siyo tatizo.

Tho ni ushindi tunaouhitaji.

Ambaye nina uhakika atashinda ni Tottenham as hii timu ilimpiga na Mourinho atataka kulipiza.

Also kuthibitisha nani mkubwa
mbona sijamuona Saliba hata benchi
 
mbona sijamuona Saliba hata benchi
Ebwana hayo ni matarajio ya tuliyokua wengi as asubuhi Arteta alisema ameona Saliba ameimprove mno.

Kwa kuzingatia ya kwamba Arsenal kashafuzu wengi tulitarajia Saliba acheze.

Maajabu yake anaenda kucheza Chambers ambaye ametoka majeruhi. Na Aziz kutokea B.
 
Ebwana hayo ni matarajio ya tuliyokua wengi as asubuhi Arteta alisema ameona Saliba ameimprove mno.

Kwa kuzingatia ya kwamba Arsenal kashafuzu wengi tulitarajia Saliba acheze.

Maajabu yake anaenda kucheza Chambers ambaye ametoka majeruhi. Na Aziz kutokea B.
labda atakuwa na bifu nae
 
Hizo timu walizocheza nazo Europa ni kindergaten, hata wachezaji wa Arsenal wangefungwa pingu wawili wawili na kipa angefunikwa na kitambaa cheusi usoni Arsenal wangeshinda mechi zote.

Chelsea tulishinda mechi zote mpaka kuchukua kombe. Arsenal Europa hii safari yao itaishia robo au nusu fainali

Fainali ni nyumbu vs Tote. Nyumbu akapigwe 7 bila

Ina maana ni kundi la Arsenal peke yake lililokuwa na kindergarten?

Maana hakuna mwingine yeyote aliyeshinda game zote 6 isipokuwa Arsenal tu.
 
Back
Top Bottom