Come back kampige mkeoNipo njiani safari. Mnaoangalia game tuna dalili ya come back au miyeyusho?


Kwani mshawah kufanya comeback tangu arteta awe jocha wenu...Nipo njiani safari. Mnaoangalia game tuna dalili ya come back au miyeyusho?
Usafiri salama mkuu tena bila kuwaza haya. Just sayingNipo njiani safari. Mnaoangalia game tuna dalili ya come back au miyeyusho?
wamefanya kitu mkuu.Wanaarsenal leo nawaombea kila la kheri. Fanyeni ima mfunge Tot ili mjinasue kushuka daraja. Itakuwa aibu sana timu kubwa kama arsenal mnakuwa kwenye denja zone. Ebu fanyeni kitu aisee




🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪



🤪🤪🤪🤪




🤣🤣🤣🤣🤣Arsenal tatizo kocha ana macho MABAYA sanaa ukimtizama machoni anatisha wachezaji