Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Hatutaki kumtimua but yeye na genge lake wayaondoe haraka sana matatizo waliyotuletea.Arsenal wanasubiri nn kumtimua Arteta?
Ukichkua stats za Unai na yeye Bora unai wallahi
Hatutaki kumtimua but yeye na genge lake wayaondoe haraka sana matatizo waliyotuletea.Arsenal wanasubiri nn kumtimua Arteta?
Huyu dogo Nikieta aliyeingia sub anaenda kuvunjwa mguu na sissoko

Mkuu tumpe muda, ligi bado ni mbichi.Hatutaki kumtimua but yeye na genge lake wayaondoe haraka sana matatizo waliyotuletea.
Ukichkua stats za Unai na yeye Bora unai wallahi
Kweli kabisa but tatizo lake he is a LIAR. Ametumika kudanganya umma wa mashabiki wa arsenal duniani kwamba Ozil ameachwa for football reasons wakati anajua kabisa that's an open LIE.Mkuu tumpe muda, ligi bado ni mbichi.
Hatutaki kumtimua but yeye na genge lake wayaondoe haraka sana matatizo waliyotuletea.
Ukichkua stats za Unai na yeye Bora unai wallahi
Kila mtu ashinde mechi zake mkuuKwa hiyo mmeona mkitoa hata sare sisi tutafaidi sana au?
Ndoo hivoo sasa ingekuwaje hata wewe ukifikiria?Kwa hiyo mmeona mkitoa hata sare sisi tutafaidi sana au?
Nyie mlichoropoka, Arsenal ilikuwa wazi anakufa. Kwenye zile timu kubwa aliebakia ni Liver, naye kipigo kinamsubiri.Kila la kheri chama letu Arsenal a.k.a Arse8
Leo Auba hatotuangusha.
Nipigieni Mourinho nyie mbuzi..
COYG chama kubwa![]()

Punguza ukali wa maneno yakhe!!Morihno anawapiga miti huko
Anapachika ukuni huko nyuma ya Arsenal






