Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila siku nawaambia hata kama wakileta kocha gani hapo Arsenal hakutakuwa na kipya.


BILA BWANA KROENKE KUTOA PESA YA USAJILI ILI KUMPA KOCHA AKANUNUA MCHEZAJI YEYOTE ANAYE MTAKA,MWAKA HUU ARSENAL ANASHUKA DARAJA
 
Kwenye derby ya leo ya London kuna mchambuzi mmoja katoa homework moja

Kuna timu inajua inafanya nini wakati wana mpira na wakati hawana mpira lakini kuna timu nyingine hawajui wanalolifanya uwanjani wakiwa na mpira ama wakiwa hawana mpira
Hiyo timu nyingine isiyojua inafanya nini ndio ipi?
a) Spurs
b) Arsenal
c) Mbao United
 
Huyo anatokeaga kipindi timu kubwa zinapo fungwa.
Ngoja siku Manchester United akifungwa, lazima atokeze.
Nina uhakika huko alipo atakua anapanga kubadili ID, aje kivingine
Aroan yuko wapi kitamb hajachangia
 
Arteta hana makosa, ni kocha mzuri hata akija Chelsea tutaendelea kukiwasha, Tatizo la Arsenal hamkuachana vizuri na Wenga. Mrudfisheni Wenga kama anaondoaka mumlazimishe aache baraka zake
 
insta_2453843414328966626.jpeg
 
Arsenal ya sasa hivi ndio the Worsiest Arsenal of all seasons, msipofanya jambo timu inazama hiyo, inahamia Championship aisee, fanyeni jambo
 
Arteta hana makosa, ni kocha mzuri hata akija Chelsea tutaendelea kukiwasha, Tatizo la Arsenal hamkuachana vizuri na Wenga. Mrudfisheni Wenga kama anaondoaka mumlazimishe aache baraka zake
Mbona umeidharau hvy timu yangu Chelsea.?
 
Back
Top Bottom