Hivi kwanini unataka kunigombanisha na ndugu zangu wa humu?
Anyway sijaangalia game sina cha kusema.
Hivi kwanini unataka kunigombanisha na ndugu zangu wa humu?
Arsenal tumecheza vizuri sema bahati haikuwa yetu.
Next arsenal games
Southampton
Everton
Man city
Chelsea
Ili kuleta heshima, hakikisheni mnamfunga ChelseaYeah tushafanya sana.
Tumechukua FA kwa comeback dhidi ya Chelsea. Nyinyi watu msiojua mpira msiwe mnaniquote.
Morihno anawapiga miti huko
Anapachika ukuni huko nyuma ya Arsenal
Mashabiki wa Arse8 walikuwa wanapiga kelele Arteta aachane na mfumo wa 433 arudi 343 amekutana na Morinyo mtaalamu wa mbinu.
Chama cha soka England watoe tamko kwamba mechi zijazo za Arsenal, Auba, Lacazette wakiwa na mpira wasikabwe.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
, ila we jamaa.
Kila la kheri chama letu Arsenal a.k.a Arse8
Leo Auba hatotuangusha.
Nipigieni Mourinho nyie mbuzi..
COYG chama kubwa![]()
Hivi kwanini unataka kunigombanisha na ndugu zangu wa humu?
Anyway sijaangalia game sina cha kusema.
Nasema tena na tena. Kroenke msitake kumsingizia.Kila siku nawaambia hata kama wakileta kocha gani hapo Arsenal hakutakuwa na kipya.
BILA BWANA KROENKE KUTOA PESA YA USAJILI ILI KUMPA KOCHA AKANUNUA MCHEZAJI YEYOTE ANAYE MTAKA,MWAKA HUU ARSENAL ANASHUKA DARAJA
Unaonaje tukawapa Martial aokoe japo jahazi??Gari bovu, Huwa tunasema wiki moja barabarani wiki moja geregi, sasa nyie mmevunja rekodi, wiki zote gereji![]()
Nadhani tunaongea lugha moja sasa.London ni nyeupe ujue![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha, noma sana.


Ogopa kuitwa mabahili wa jiji la London.
Kumbuka huyo kipepe hakununuliwa na Cash,bali zilikuwa pesa za mafungu mafungu,na hii ndo Biashara anayoipenda kroenke
HUYO ARTETA NI KOCHA MZURI KWA LIPI?? NA HUYO WENGER MIAKA 21 KAFANYA NINI, YAANI UNAFUNDISHA TIMU MIAKA 21 UNA PREMIER 3 NA UEFA 0.Arteta hana makosa, ni kocha mzuri hata akija Chelsea tutaendelea kukiwasha, Tatizo la Arsenal hamkuachana vizuri na Wenga. Mrudfisheni Wenga kama anaondoaka mumlazimishe aache baraka zake
HahahahahahaWacha tupambane kivyetu.
Naona mmeshindwa kutusaidia.