Mkuu na we unakua mgeni ktk soka nn? Starting lineup itatokaje sahv ilihali game inachezwa SAA 2:30 huko?Mbona sioni starting line up au bado haijatoka?
Game ni saa moja na nusu au 19:30 au 07:30 pmMkuu na we unakua mgeni ktk soka nn? Starting lineup itatokaje sahv ilihali game inachezwa SAA 2:30 huko?
Tayari partey ndani,Arteta leo aandae kabisa vitu vyake akifungwa hatakuwepo Emirates next week hakuna fan wa Arsenal ambaye atavumilia matokeo mabaya ambayo yatatuweka nafasi ya relegation NeverLine up itatoka baada ya dkk 10 from now
Mkuu hebu tulia kwanza.Tayari partey ndani,Arteta leo aandae kabisa vitu vyake akifungwa hatakuwepo Emirates next week hakuna fan wa Arsenal ambaye atavumilia matokeo mabaya ambayo yatatuweka nafasi ya relegation Never
Leo tufungwe unategemea hali ya hewa itakuwaje?lazima ashinde na hilo ndo fan wote wanalitakaMkuu hebu tulia kwanza.
Hahahahaahahhaahhahah.



Mkuu mbona umeanza mapema sana... Subir subir kidogo basi..Tayari partey ndani,Arteta leo aandae kabisa vitu vyake akifungwa hatakuwepo Emirates next week hakuna fan wa Arsenal ambaye atavumilia matokeo mabaya ambayo yatatuweka nafasi ya relegation Never




