Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Unapataje ujasiri wa kumnanga bingwa wa muda wote wa Uingereza
Embu rudi haraka kwenye jukwaa lenu mpige ung'eng' (Sory kumbe jana mliambulia draw)
Najua wewe unawaheshimu Arsenal kupigwa 3, maana wewe ulilambwa na hao Vila goli 1,2, 3,4,5,6,7
Embu rudi haraka kwenye jukwaa lenu mpige ung'eng' (Sory kumbe jana mliambulia draw)
Najua wewe unawaheshimu Arsenal kupigwa 3, maana wewe ulilambwa na hao Vila goli 1,2, 3,4,5,6,7

Unapataje ujasiri wa kutembelea Jukwaa hili,
Wametoka kukutoboa last week nyumbani kwako palepale.
Nenda kamchambue Maguire kwenye jukwaa lako fanya haraka.