Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Shida yao hawa midomo mirefu kila jukwaa lazima utawakuta tena ndio wanaongoza kwa kuponda wanasahau madhaifu ya katimu kao.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mbea ushafika? [emoji23]
Huyu jamaa bhn anamponda Lampard kwa fake ID ya LONDON IS BLUE then anamtetea kwa hii ID, daah kweli vituko haviwezi kuisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
We mbea ushafika? [emoji23]
Huyu jamaa bhn anamponda Lampard kwa fake ID ya LONDON IS BLUE then anamtetea kwa hii ID, daah kweli vituko haviwezi kuisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Aaaaahh kumbe na wewe umelistukia eeeehhh hahahaha hh macheltyäko [emoji529]
 
Dah ukisikia mtu kapewa sifa za kijinga ndio hizi sasa [emoji23][emoji23]
Ninachowapendea mashabiki wa Arsenal hata wakifungwa hawaumii kwasababu mioyo yao imeshakuwa sugu [emoji1787][emoji1787]
Miaka5 tena kwa
Mr Arteta tafadhali.
 
Ninachowapendea mashabiki wa Arsenal hata wakifungwa hawaumii kwasababu mioyo yao imeshakuwa sugu [emoji1787][emoji1787]
Miaka5 tena kwa
Mr Arteta tafadhali.
Aliyeandikiwa barua aje aishabikie arsenal ndio ataumia
 
IMG-20201109-WA0002.jpg
 
Arteta achutame hata kwa kufanya lobbying Ozil arudi asijifanye kichwa ngumu jana tumedhalilika ila kuna siku tutadhalilika zaidi ya jana Arsenal style yao inajulikana ukiwabana viungo wa pembeni kama Saka jana mchezo unakuwa umeisha Arteta katika mechi hizi 11 za round ya kwanza zilizobakia bila playmaker na ni ozil ndo aliyebakia angalau ana kiwango (hehehe muda utaongea)arudi tu hali ni mbaya kuna kufungwa kwa bahati mbaya kama Liverpool alivyofungwa 7 mancity 5 Manchester United 6 but kwa Arsenal ishakuwa sio bahati mbaya mechi 8 unafungwa 4 that's means kiwango ni kibovu mno na no direction in the future kuanzia board hadi wachezaji walitakiwa Aour na partey kwa pamoja ila ubahili unaanza kutucost Au amtafute Wenger ampe mbinu zamani Emirates ulikuwa uwanja wa machinjio but now days Emirates umekuwa uwanja wetu wa Away!
 
Ndo uelewe kwamba haya majukwaa ni yetu sote, na kitu kinacho tukutanisha zaidi kama ndugu ni msiba.

Nisipokuja msibani kwako utanilaumu na unaweza kukata hata undugu.

Sema hapa kwenye hii familia misiba minne ndani ya mechi nane ni misiba mingi sana, ndiyo maana wenyewe mnalalamika kwa kuona eti tunakula sana msibani.

Tunawaahidi kwamba misiba ijayo tutakuja na vyakula vyetu.
Nmekuja msibani [emoji17][emoji17][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wenye msiba wamekasirika eti tunakuja kumaliza vyakula vya msibani, next time tutakuwa tunakuja na vyakula vyetu, turubai letu na wakitaka hata nyimbo za maombolezo tutatunga zetu.

Wao waendelee kufa tu, waombolezaji tupo.
Huwa wanakuja Sana misibani kwetu wanakuwaga na uchungu kuliko sisi wenye msiba

Ila Hawa hawajuagi kua sisi liva ni wakorofi Sana [emoji16][emoji16][emoji28]
 
Huwa wanakuja Sana misibani kwetu wanakuwaga na uchungu kuliko sisi wenye msiba

Ila Hawa hawajuagi kua sisi liva ni wakorofi Sana [emoji16][emoji16][emoji28]

Acha tuendelee kuomboleza ndugu, maana najua kwa mwendo huu hapa tutaendelea kuja tu.

Kuna majeruhi wengi ambao wanasubiri siku tu Mungu awapende, hao wanna waliokufa hawatoshi.
 
Not likely hasa draw zinapokuwa involved.

BTW hii point iko kiushabiki zaidi, isituchukulie muda sana kujadili.

Ila jana kwa jinsi Aston Villa nilivyowaona, maombi yangu ya wao kushuka daraja sioni yakifanikiwa.
Hahaha kwa sababu ya Samatta😂😂😂 me naona bora amesepeshwa maana angesugulia bechi mpka angeota sugu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom